Jobless_Billionaire
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 5,457
- 13,839
- Thread starter
- #181
Hao ndio balaa sasa na ndio wanatuingiza matatizoniSijaona ushuhuda wa Ke .. kwamba you guys are loyal ?🙃😁
Hao ndio balaa sasa na ndio wanatuingiza matatizoniSijaona ushuhuda wa Ke .. kwamba you guys are loyal ?🙃😁
Bora uendelee kusikia tu mkuuMimi sijawahi kufumania wala kufumaniwa. Nasikia tuu kwa wenzangu kama hivi
Angalia hicho kinamna gani wasije kupita nacho mkuuNgoja ni subscribe. Nitakuita apa 😁.
Ngoja na mimi nitafute kisa nitaleta apa.
Aisee..Simu.
Maneno mengiii mwendelezo hakunaAisee..
Kwa sasa sina kabisa mkuuMawasiliano na mwanamke huna
Na bado ukaendelea kuishi humo kitaaKila nikikumbuka kukimbizwa na kadudu kananing'inia na sijavaa chochote naishiwa nguvu kabisa aisee .
Hivyo viatu vya nini sasa hapo mkuu
Huo mwili akiteleza hapo si mnazika mkuu!Hivyo viatu vya nini sasa hapo mkuu
Kwa JF hakuna mkuu, humu kila mtu mke wake hajawahi kufanya vite do vya kifedhuli. Wanaofumania ni wale ambao hawana simu na hawapo JFHakuna mtu aliewahi kufumania mke wake akiliwa?
Hatari sanaHuo mwili akiteleza hapo si mnazika mkuu!
Chukua Miwa mkuu. Popcorn zitakuishia kwenye trailer tuAnakuja soon.
Usije ukatugeuka tu 😂. Ngoja nichukue popcorn.
Hata Adolf Hitler asingeweza kubaki mtaa huo ndiyo iwe mimi ?Na bado ukaendelea kuishi humo kitaa
shibelaPole sana usirudie Tena!
Jana na Leo!
Ukaona bora utokomeeHata Adolf Hitler asingeweza kubaki mtaa huo ndiyo iwe mimi ?
Mnaitwa majinaJana na Leo!
Kaniita jina!Mnaitwa majina
[emoji23][emoji23][emoji23]"jamaa lilikuwa limevaa yale ma-sandals ya ngozi og likanikanyaga teke la kichwani"
[emoji2][emoji2][emoji2]Hayo masendo wasukuma wanayapenda yana soli kubwaa