Jobless_Billionaire
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 5,457
- 13,839
- Thread starter
- #21
Sirudii mkuu, siku hizi wake za watu ni big noPole sana usirudie Tena!
Sirudii mkuu, siku hizi wake za watu ni big noPole sana usirudie Tena!
Muamini Mungu tu usimuamini binadamu yyt yule ktk maisha yakoniliwahi fumania kwa mtu niliyekua nampenda sana siku hio nikasema ngoja nishike ng'ora nione kama nina mshindani nilichokikuta mpaka leo my trust has been shaken sijui kama ntakuja kuamini jinsia ke
Bora maana suku ukidakwa ndio utatoa max kuwa kati yao na wewe ni nani MadUwa najichanganya kwooote sio kwa mke wa mtu.
najitahidi but when i think of the past its like TRAUMA and i use that past to protect my selfMkuu jitahidi upate mmoja umuamini tu
😊Marefuuu!
Ishia hukohuko, usirudi kwenye uzi wangu mkuuNitarudi
Mnasalimiana kwenye uzi wangu, au niufute
Eiishhh futaa😆Mnasalimiana kwenye uzi wangu, au niufute
Hi! How was your day?
Ngoja mfikie karibu na makubalianoEiishhh futaa😆
Was great hru?Hi! How was your day?
Hi brother Billionaire ☺️Mnasalimiana kwenye uzi wangu, au niufute
Unajihami ili nisifute uziHi brother Billionaire ☺️
Hamna we mkubwa wangu ujue 😀Unajihami ili nisifute uzi