AXIOM APEX VERBOSE
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 12,241
- 20,543
Just imagine ameingia sehemu ambayo wewe hujawaahi hata kuingia unamfamyaje?Duuh, sitakuwa na la kumfanya zaidi ya kumfukuza japo inaumiza sana asee!
Just imagine ameingia sehemu ambayo wewe hujawaahi hata kuingia unamfamyaje?Duuh, sitakuwa na la kumfanya zaidi ya kumfukuza japo inaumiza sana asee!
HakikaIf you don't wish to be captured in adultery inflagrante de licto just don't do it.
Hahahaaaa, yani kwanza inategemea nipo kwenye mood gan, kikubwa ni kufukuza wote kama mbwa ila naamini sina ndugu ndumilakuwil kiasi icho, unafkir kama ww ungefanyaj ?Just imagine ameingia sehemu ambayo wewe hujawaahi hata kuingia unamfamyaje?
Mimi sijui cha kuwafanya ila kuwafukuza wote waende wakaendelee mbele ya safari ingawa sio jambo rahisi hivyo kuwafukuza inataka moyoHahahaaaa, yani kwanza inategemea nipo kwenye mood gan, kikubwa ni kufukuza wote kama mbwa ila naamini sina ndugu ndumilakuwil kiasi icho, unafkir kama ww ungefanyaj ?
Navua nini tena mwanetu😃ACHA uvuvi story nzuriii
si jambo rahisi kwel, ila kwenye kuwaondoa mm sitautaka uo moyo maana sitaweza pishana nyumba moja na wasaliti ninaowalisha !Mimi sijui cha kuwafanya ila kuwafukuza wote waende wakaendelee mbele ya safari ingawa sio jambo rahisi hivyo kuwafukuza inataka moyo
Kwa hio unawatimuasi jambo rahisi kwel, ila kwenye kuwaondoa mm sitautaka uo moyo maana sitaweza pishana nyumba moja na wasaliti ninaowalisha !
Chupi hio na sindiria yakoNavua nini tena mwanetu😃
UvivuNavua nini tena mwanetu😃
unauliza jibu !Kwa hio unawatimua
sio wew unaandikaga "mabwaku" geuza na iyNavua nini tena mwanetu
Soma kwa kuelewa, nilivusha demu wangu wote kipindi tulikuwa hatujaoa.Yaan wewe boya ulikula shemeji yako si ndio?
Chupi hio na sindiria yako
Nifanyie wepesi mkuuUvivu
Simulieni basi hivyo visa jamaniKila nikikumbuka kukimbizwa na kadudu kananing'inia na sijavaa chochote naishiwa nguvu kabisa aisee .