Ofcourse we are ☺️Sijaona ushuhuda wa Ke .. kwamba you guys are loyal ?🙃😁
Mleta mada enyewe alicheat na mke wa mtu.. How comes 😂Ofcourse we are ☺️
Unayajua madirisha ya vioo ya kizamani grill zake zinakua zimegawanya dirisha pande nne?Anakuja soon.
Usije ukatugeuka tu 😂. Ngoja nichukue popcorn.
Unayajua madirisha ya vioo ya kizamani grill zake zinakua zimegawanya dirisha pande nne?
Sasa hivo vijumba viwe vinneView attachment 3589174
Kama hili ?
Yeah now nimeelwa. Inakua kupitaSasa hivo vijumba viwe vinne
Kuna jamaa mmoja katika mahusiano hiyo siku nikaenda kwake, akapigiwa simu akasepa akaniacha.Yeah now nimeelwa. Inakua kupita
SitakiiAcha 😅
Malizia story sasa 😂🍿Kuna jamaa mmoja katika mahusiano hiyo siku nikaenda kwake, akapigiwa simu akasepa akaniacha.
Mimi nina tabia moja hata nikiwa kwangu nikiwa ndani lazima nifunge mlango na funguo.
Nikawa nakaanga chips jikoni, nikasikia mlango unagongwa, nikampigia simu kumuuliza kama asharudi, akanambia bado yupo alikokwenda.
Nikasogea dirishani kuchungulia nikamuona mdada mweupee halafu mwembamba tall kavaa dera😂 nikajua hapa kishaumana.
Nikamute sikufungua mlango.
Yule dada akanambia "Please funguo mlango najua ndani upo peke yako"
Nikamuuliza unataka nini? Akanambia we fungua!
Nikanyanyuka nikaenda zangu jikoni kuendelea kugeuza chips.
Nilichosahau ni kua dirisha nimefungua kioo.
Nikasikia kama mtu anahangaika nikakimbilia kuangalia Lahaula! Yule chizi anapenya dirishani🤣
Nilipigwa na butwaa! Nikiangalia ndani nipo mwenyewe.
Nitamalizia mleta uzi akimalizia kisa chake cha piliMalizia story sasa 😂🍿
Kama ambavyo wewe unasubiri kwa hamu na mimi nasubiri hivyohivyo.Ilikuwaje siku uliyofumania/ uliyofumaniwa?
Bado hujatuambia . ILIKUWAJE ? 🙄😂
Ngoja ni subscribe. Nitakuita apa 😁.Kama ambavyo wewe unasubiri kwa hamu na mimi nasubiri hivyohivyo.
Mwambie mleta mada amalizie
Aanh ni huko kwao tu huku hatupo hivi😁Mleta mada enyewe alicheat na mke wa mtu.. How comes 😂
Mimi sijawahi kufumania wala kufumaniwa. Nasikia tuu kwa wenzangu kama hiviNa wewe leta ule wako na mchagga