Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 15,619
- 22,535
Simu.Sijafaham mkuu.. inaweza kuwa alijuaje?
Simu.Sijafaham mkuu.. inaweza kuwa alijuaje?
😁😁😁mshangazi ulining'ata ukaniachia makovu
😄😄😄 Waiting for next chapterMkuu acha tu, ukikaa vibaya zile pampers za Zari unaweza kuzivalia ukubwani
😄😄niliwahi fumania kwa mtu niliyekua nampenda sana siku hio nikasema ngoja nishike ng'ora nione kama nina mshindani nilichokikuta mpaka leo my trust has been shaken sijui kama ntakuja kuamini jinsia ke
😄Mnasalimiana kwenye uzi wangu, au niufute
😄😄Unajihami ili nisifute uzi
Hahaha oya uliyakanyaga mke wa mtu ogopaSijajua walimalizaje na mkewe , ila ulipita muda sana nikiwa mkoa mwingine huo bidada akanicheki tena.. nikavunja kabisa ile line ya simu. Tunaonana kwenye social networks tu..
Ndio ili liwe somo na sisi tujifunzeAu sio,, usome nilivyoharibikiwa
Mlikua mnakaa chumba kimoja?Tulikuwa tunaishi na kaka, siku moja kasafiri nikajua hapa nimepata nafasi nikavusha kumbe kafika huko kaghairi safari karudi. Ile bado mechi inaendelea nikasikia hodii aisee! kilichofuata ni aibu!
Yaan wewe boya ulikula shemeji yako si ndio?Tulikuwa tunaishi na kaka, siku moja kasafiri nikajua hapa nimepata nafasi nikavusha kumbe kafika huko kaghairi safari karudi. Ile bado mechi inaendelea nikasikia hodii aisee! kilichofuata ni aibu!
Tunasubir code zakoMwenyekiti acha aitwe mwenyekiti, alitumia akili sana kumnufaisha mwenye mke ingawa wewe uliona kama anakubeba, kwani wadhani haelewi wepesi wa kesi hizo?
Ugoni si kesi ya Polisi ile, yale ni madai yanayotakiwa kupelekwa mahakamani moja kwa moja.
Ungelipelekwa Polisi mambo yangelivurugika, wanufaika wangelikuwa ni Polisi, usingeweza kutozwa kifuta jasho chote hicho bila uthibitisho wowote wa kidaktari na ushahidi wenye mashiko.
Kifupi, kesi ya ugoni ni nyepesi sana mahakamani kuliko watu wengi wanavyodhania.
Maana ungelikuwa umeoa, mkeo katika kukusaidia, naye angeliibuka kiulani kwenye mtego ulionasa na kuja kumshika ugoni huyo mke wa jamaa uliyezini naye kwa madai ya kutembea na mumewe, ngoma draw.
Tena mkeo ushahidi wake ungekuwa ni mrahisi kutokana na uthibitisho usiotia shaka wa wewe mumewe unapokuwa umepatikana na hatia hiyo.
Kama umetozwa mil. 2.5, yeye angelidai hata mil. 5 fidia.
Sema nini, jambo lenyewe ni la fedheha sana, hasa kisaikolojia.
Enhe, tuletee huo mkasa wa pili ili tuconclude pamoja mwishoni halafu tukupe mbinu na maujanja.
Unajua ni kwanini Osama walipata tabu sana kumpata na kumwangamiza?
Halafu nakushangaa eti mpaka leo haujui nini kilisababisha mumewe afahamu, real!
ndugu kama hawa ukiwakaribisha nyumbani kwako ni sumu mbaya sana, ukute mkeo nae mcharuko !Yaan wewe boya ulikula shemeji yako si ndio?
Yaan jamaa anakula mke wa brother yake halafu anafuraahia kabisa aiseendugu kama hawa ukiwakaribisha nyumbani kwako ni sumu mbaya sana, ukute mkeo nae mcharuko !
inaskitisha sana yani ndugu yako ukute unamwamini 97% + then akufanyie hivyo. anamuumiza bro, anafanya maamuzi magumu yanayomuumiza pia, yani uyo hatakaa aaminiwe na kaka yake milele, uaminifu huboresha mahusiano mazur..............Yaan jamaa anakula mke wa brother yake halafu anafuraahia kabisa aisee
Ukimfuma mtu km huyo unamfanyaje?inaskitisha sana yani ndugu yako ukute unamwamini 97% + then akufanyie hivyo. anamuumiza bro, anafanya maamuzi magumu yanayomuumiza pia, yani uyo hatakaa aaminiwe na kaka yake milele, uaminifu huboresha mahusiano mazur..............
ACHA uvuvi story nzuriiiNisummerizie mwanetu..
Duuh, sitakuwa na la kumfanya zaidi ya kumfukuza japo inaumiza sana asee!Ukimfuma mtu km huyo unamfanyaje?