KARANJA 007
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 5,990
- 2,521
Daah isijekuwa yeye ni yule shost yako aliovuka barabara kimchele mchele.Hayuko serious nimemfuata MP, ananikana hanijui et
Daah isijekuwa yeye ni yule shost yako aliovuka barabara kimchele mchele.Hayuko serious nimemfuata MP, ananikana hanijui et
HahahahSasa Mkuu ukamkimbia mdada mwenzako? si ndio ulikua umepata shost?
Mrembo nilimaanisha namba yako au uje PM unipe first priority mamii.Nishafutaga bhna, afu ni long tym
Hahahah yani nimecheka hd machoz yamenitoka pole mamy,ila shv whtsp imerahisishaSitaki kukumbuka, kuna mkaka nilikuwa nachat nae fb, sasa nilisafir kwenda mkoa furan for my own issues koz na yy yupo huo mkoa so ikabidi tuonane, jmn mm nikawa upande wa pili wa barabara sasa anakuja anavyovuka sasa anakimbia ka mdada, ile kunifikia kumbe ni shoga...lol nilidelete namba ake siku ile ile
Yah atlist, n that time hata fb hiz smart hazikuwepo sana so vipicha vilikuwa havionekan vzr so kumjua mtu ilikuwa c rahisiHahahah yani nimecheka hd machoz yamenitoka pole mamy,ila shv whtsp imerahisisha
First priority nimempa WANDEKEMrembo nilimaanisha namba yako au uje PM unipe first priority mamii.
Sura kama Giarivaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] umetisha mkuuuYaliyokusibu wewe ndio yalinikuta mimi ilikuwa 2011 tukaahidiana tukutane mitaa ya isamilo aisee nilichokutana huko ni shida jimama kubwa halafu sura nzito kama giariva ya fiat nilikata mitaa nikatokea milongo huyoo masikani sitarudia tena kushobokea namba kama hizo
Hahaaa[emoji23] [emoji23] leop kumbe na nyinyi mnawa chukia,,haooo,,Sitaki kukumbuka, kuna mkaka nilikuwa nachat nae fb, sasa nilisafir kwenda mkoa furan for my own issues koz na yy yupo huo mkoa so ikabidi tuonane, jmn mm nikawa upande wa pili wa barabara sasa anakuja anavyovuka sasa anakimbia ka mdada, ile kunifikia kumbe ni shoga...lol nilidelete namba ake siku ile ile
Hahahhhh poleEnzi hizo nilishawahi kukutana na mtu humu JF, baadae tumeshaondoka eneo la tukio akaniambia yeye hawezi kudate watu wafupi kama mimi!
Dah, wanaume wafupi tuna kazi sana.
Tatizo huwa wapambee,,Mimi mtu alikosea namba akasema haina neno tuwe marafiki basii kuna kipind mm nikaenda musoma na yy yupo huko nilijutaa kumuona mwanaume andunje mfupii mnoo na mm nilienda na watu wawili mm wa tatu walichekaa rafiki zangu tupoondoka hatukurud tulikula na kunywa tukaaga kurud hakuna alierud
Una roho ya peke ako mkuuHaya mambo ni magumu. Nikawa nawasiliana na binti mmoja "moto". Yaani tunaongea masaa kwenye simu zile za tochi mpaka siku zingine ananiambia eti ngoja leo nikulaze naimbiwa vinyimbo vitamu, naelezwa anavyonitamani yaani mzuka balaa. Hatimaye siku ya siku ikafika tukutane yeye anatoka Bagamoyo kuja pale Mlimani. Uwii kumbe ni mmama anayeweza hata kunizaa kabisa. Nikampeleka kwenye kamkahawa fulani pale karibu na kituo cha polisi. Japo alikuwa mweupe na mtako wa kufa mtu lakini sikuwa na mzuka tena kutokana na umri wake. Wakati nampa nauli ya kurudia Bagamoyo nikamuona analia. Kumuuliza vizuri ndo ananiambia yeye ni mwathirika wa UKIMWI na anaomba nimsaidie. To cut the wrong story short niliendelea kuwa rafiki yake na nilikuwa namtumia vihela vya matumizi kila inapowezeka na alikuwa anamtuma binti yake. Mpaka alipozidiwa akalazwa Muhimbili nikaenda kumuona analia na kunishukuru sana. Hata alipofariki kwenye mazishi yake ndugu zake wananiangalia na kunipa heshima sana. Binti yake alitaka sana tuwe marafiki lakini nilimkatalia kata kata na hatimaye tukapotezana.
Mkasa huu ulinifundisha mambo mengi na hata kunifanya kuwa binadamu bora zaidi na leo hii passion yangu maishani ni kusaidia watu wasiojiweza kabisa kabisa moja kwa moja. Huko ndiko huwa namalizia disposable income yangu na ni tabia inayoliwaza moyo sana na kuleta ridhiko la kweli. Naamini Mungu Alimtumia yule mama ili kunifundisha kitu na kuyabadilisha maisha yangu. Na kuanzia wakati huo sijawahi kukutana na mtu tunayewasiliana mtandaoni tena!
[emoji23][emoji23]sitasahauHahaahaaa[emoji213] kitambiii,kikubwa kumbe wengi tumekumbwa na mkasaaa,,
Asante Shunie. Nililelewa na kusomeshwa na single mom tena kwa eka moja ya pamba kila mwaka ili nipate karo ya shule. Makuzi haya ndo yamenifanya niwe hivi nilivyo na heshima na upendo wangu kwa wanawake haumithiliki. Mambo yalipobadilika kwa yule mama nilianza kujiuliza vipi angekuwa ni mamangu, dada au rafiki? Na maisha yetu hapa duniani ni nini kama hatuwasaidii binadamu wenzetu wanaosumbuliwa na magonjwa na madhila mengine ya umasikini? Na hii ndiyo dini ya kweli ati!Una roho ya peke ako mkuu