Ilikuwaje baada ya kukutana nae Live? Yaani face 2 face..

Ilikuwaje baada ya kukutana nae Live? Yaani face 2 face..

Yaliyokusibu wewe ndio yalinikuta mimi ilikuwa 2011 tukaahidiana tukutane mitaa ya isamilo aisee nilichokutana huko ni shida jimama kubwa halafu sura nzito kama giariva ya fiat nilikata mitaa nikatokea milongo huyoo masikani sitarudia tena kushobokea namba kama hizo
[emoji28]
 
Nakumbuka ilikuwa 2004,, pind nasoma,, Form,,6 Sengerema,, sec,,Mwanza,, Ndipo Nikaamua kukutana live na Binti,, live Mwanza mjini na binti aliye kosea,, Namba na kunipigia kwenye cm yangu,,ya Philips,,JAMAN,,sijawahi Mbaya mbaya kama huyo,,Et Nilikuwa nimebeba na Marafiki zangu,, Si unajua Kama mnarudi Likizo Nyumbani,, unakuwa na Rafiki,,Ilibidi Nijifiche hapo,tu bandari ya kwenda Bukoba,,Maana hiyo siku ilikuwa siku ya Meli na Kwetu ni Siku ya Treni,,, Kwa kweli nilijifunza mpaka Leo sijawahi shobokea Demu aliyokosea na kunipigia hata kama ana sauti nzuri vipi,,,Hebu Niambie Kama Dada ulifanyaje? Na kama Kaka ulifanyaje? Maana nilijuta hiyo siku,,
Pole [emoji1]
 
Sitaki kukumbuka, kuna mkaka nilikuwa nachat nae fb, sasa nilisafir kwenda mkoa furan for my own issues koz na yy yupo huo mkoa so ikabidi tuonane, jmn mm nikawa upande wa pili wa barabara sasa anakuja anavyovuka sasa anakimbia ka mdada, ile kunifikia kumbe ni shoga...lol nilidelete namba ake siku ile ile
Hahahhhh
 
Mimi mtu alikosea namba akasema haina neno tuwe marafiki basii kuna kipind mm nikaenda musoma na yy yupo huko nilijutaa kumuona mwanaume andunje mfupii mnoo na mm nilienda na watu wawili mm wa tatu walichekaa rafiki zangu tupoondoka hatukurud tulikula na kunywa tukaaga kurud hakuna alierud
 
Enzi hizo nilishawahi kukutana na mtu humu JF, baadae tumeshaondoka eneo la tukio akaniambia yeye hawezi kudate watu wafupi kama mimi!

Dah, wanaume wafupi tuna kazi sana.
 
Sitaki kukumbuka, kuna mkaka nilikuwa nachat nae fb, sasa nilisafir kwenda mkoa furan for my own issues koz na yy yupo huo mkoa so ikabidi tuonane, jmn mm nikawa upande wa pili wa barabara sasa anakuja anavyovuka sasa anakimbia ka mdada, ile kunifikia kumbe ni shoga...lol nilidelete namba ake siku ile ile
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mimi jibu nimeliona hapa hapa, maana amesema utapewa priority!

Sasa wewe fanya kuchelewa hii thread ifike page ya 6 ndo utajua maana ya "Chelewa chelewa ..."
Hayuko serious nimemfuata MP, ananikana hanijui et
 
Sitaki kukumbuka, kuna mkaka nilikuwa nachat nae fb, sasa nilisafir kwenda mkoa furan for my own issues koz na yy yupo huo mkoa so ikabidi tuonane, jmn mm nikawa upande wa pili wa barabara sasa anakuja anavyovuka sasa anakimbia ka mdada, ile kunifikia kumbe ni shoga...lol nilidelete namba ake siku ile ile
Daah mamii hebu nitumie namba yake kulePM bhana.
 
Kwangu ipo tofauti kidogo..
Kwa mara ya kwanza nameet na yule manzi, ilikuwa 2009 pale kigogo mbuyuni. Hakika alikuwa binti mrembo mwenye weupe asilia, mrefu macho yake kama ananikonyeza vile!.. Nilifurahi sana kumuona nae pia alionyesha furaha pia, nawasiliana nae mpaka kesho..
 
Back
Top Bottom