Baraka Mina
JF-Expert Member
- Sep 3, 2020
- 581
- 574
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kutoka Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Ndg. Samia Suluhu Hassan anawaapisha viongozi aliowateua kama ifuatavyo:
- Uteuzi: Rais Samia amteua Humphrey Polepole kuwa Balozi Malawi, Mchechu arudishwa NHC
Picha: Humphrey Polepole akiapa kuwa Balozi wa Tanzania nchini Malawi
Picha: Waziri Kindamba akithibitisha kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mjombe
Mkuu wa Mkoa wa Njombe Waziri Kindamba Waziri akiwa pamoja na Balozi wa Tanzania katika nchi ya Jamhuri ya Malawi Humphrey Polepole wakila Kiapo cha Maadili kwa Viongozi
Picha: Rais Samia kulia akiwa na Balozi Mpya wa Malawi Humphrey Polepole

- WAZIRI KINDAMBA WAZIRI kuwa Mkuu wa Mkoa wa Njombe.
- HUMPHREY HEZRON POLEPOLE kuwa Balozi wa Tanzania nchini Malawi.