Nazgur
JF-Expert Member
- Apr 19, 2020
- 3,730
- 2,850
Kwani kuchanja mtu mmoja inachujua muda gani mpaka sasa iwe 5% kwa zaidi ya mwezi?Huu utopolo wote ni kutaka kuhalalisha sisi kuendelea kufa kwa uzembe wa kutopokea chanjo zilizopo?
View attachment 1718867
Chanjo zilizopo zipo vizuri na habari thabiti kukuhusu iliyopo ni hii;
Mtajishaua sana na vi websites mnavyovinukuu nje ya mada. Utakuwa chanjo uko ndani ya wiki za mwanzo mlitegemea 100% ya watu kuwa vaccinated tayari?
Kwamba zingine za hivi pelekeeni wajinga.
Kama kupiga kura watu wanapiga kura mamilioni na matokeo yanatoka ndani ya masaa au siku mbili itakuwa kuchanjwa kasindano kamoja kisha unatokomea?
Hata wao huko wamezira ila ujinga wenu ndo mnabaki kulazimisha tu
Watu milioni mia tatu huko marekani wakitaka kuchanjwa ni mwezi mmoja wote wameisha kwa kuwa kila nyenzo wanayo
Na kutokana na vifo vinavyo wakumba wasingesubili kufa bali wangeenda kuzuia kifo.