Yaani mnasema as if mtu anaenda tu kupata chanjo akiamua, kama vile mtu anaenda sokoni, mnashindwa kuelewa zinatolewa chanjo kwa prioritization, wazee na wale at risk ndio walianza, sasa uhesabu hesabu yao hao wazee ni wangapi in total UK population?
Pamoja na prioritization ya wazi iliyopo anakuja mtu macho makavu eti chanjo wanatakiwa walio wazima. Eti kuwa kwa nini bado asilimia kidogo.
Nyambafu!