Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 18,200
- 27,255
We akili huna ndio maana hata kutongoza hujui, unakuja kutafuta mke JF. We jamaa nimekudharau sana.Fomula yangu huwa sijibizani na MPUMBAVU Mara mbili. Pole
We akili huna ndio maana hata kutongoza hujui, unakuja kutafuta mke JF. We jamaa nimekudharau sana.Fomula yangu huwa sijibizani na MPUMBAVU Mara mbili. Pole
Dr akili, nilikuambia subiri bavicha waje uoneUpumbavu wako ingefaa uuache hukohuko akilini mwako.
@Dr Akili nilikuambia subiri bavicha waje uoneUpumbavu wako ingefaa uuache hukohuko akilini mwako.
Kuna kitu hakiko sawa
Hili ndiyo tatizo. Yaani watu wanadhani elimu inapatikana kwenye kampuni ya wamarekani inayoitwa google badala ya shuleni na vyuoni. Wao ni ku google tu na cho chote watakachokipata huko google wanaamini ndiyo ukweli.Mtajishaua sana na vi websites mnavyovinukuu nje ya mada. Utakuwa chanjo uko ndani ya wiki za mwanzo mlitegemea 100% ya watu kuwa vaccinated tayari?
Kwamba zingine za hivi pelekeeni wajinga.
Poa... Sasa Ulitaka wale Dada zako wanaododea nyumbani tusiwatafute huku mtandaoni?? Pole Sana inaelekea wewe Ni mtu dhaifu Sana unakimbilia kutafuta udhaifu wa mtu ili upambane naye... Wewe ungesimamia hoja ya Mimi Kukuita MPUMBAVUWe akili huna ndio maana hata kutongoza hujui, unakuja kutafuta mke jf. We jamaa nimekudharau sana
ndugu mleta mada mimi binafsi nimekulewa sana.
kwangu hili ni bandiko bora sana karibu yote yanayo husu hili janga, kwa sababu maelezo yake ni kitaalam sana na hayana usiasa ndani yake.
ni kama bahati mbaya sana hapa kwetu tumekua na mihemuko ya kisiasa karibu kila jambo na hii imepelekea kujengeka kwa taswira ndani yetu ya kutazama kila kitu kisiasa, hii pia ipo kwa viongozi wetu wakijamii kidini na kisiasa.matokeo yake kila mwanachi tumekua tukitoa maoni na kunzisha mijadala kwa mtazamo wa ki ccm na ki chadema.
mimi sidhani mtu kama rais anazungumza kitu asichokua na taarifa nacho kiasi tushindwe kumuamini na kuwa na subira kwanza wakiti wakitafuta nini cha kufanya kilicho sahihi.
Nitawavumilia tu kwani nao ni binadamu kama sisi - wenye DNA bilioni 3 kila mmoja kwenye kila seli zao!
Nadhani siyo kosa lake. Ni kosa la wanasayansi wetu kuwapatia uelewa wa kisayansi kwa lugha rahisi kuhusiana na kinachoendelea kwenye kupambana na janga kama hili la coronavirus kisayansi. Ninadhani kama atasoma thread hii ataachana na mhemuko huo wa kisiasa.
Wanasayansi wa sayansi za binadamu wako buisy na maisha ya watu ikiwamo ikiwamo haya macorona. Wanasayansi wa sayansi za uhandisi wa miradi ya ujenzi wako buisy na ujenzi wa miradi ya miundombinu mbali mbali ya nchi. Kila Kila mwanataaluma yuko buisy kwenye eneo lake. Hata mfanyabiashara au machinga na mamantilie wako buisy kwenye maeneo yao ya kazi.Ni wazi kuna kitu halipo sawa. Hadithi zimekuwa nyingi:
1. Mara wabarakoa kuvuna mapesa kwenye chanjo. Mara kwanini chanjo bure.
2. Mara vita vya kiuchumi dhidi ya Tanzania hali pana watu Azerbaijan hawajui pana watanzania nao wanakufa na kivyao.
3. Mara Mungu katuvusha kwa maombi
4. Mara nyungu inayeyusha kirusi.
5. Mara chanjo zinaleta Corona
6. Nk.
Ukweli ni kuwa Tanzania serikali inajitahidi kutowajibika kwa lolote.
Iko busy na miradi haina muda na maisha ya watu inaowakamua kodi.
Jambo la aibu sana kwa mwenye akili yeyote.
@Dr Akili nilikuambia subiri bavicha waje uone
Nadhani mimi na wewe tunaongelea watu wawili tofauti. Mimi ninaongelea mihemuko ya kisiasa aliyoionesha Mnyika jana kwenye vyombo vya habari.Huyo bwana ana wataalamu lukuki wakiwamo maprofesa wabobezi wa kwenye fani husika.
Wataalamu hao wamekuwa wakiwa paraded naye kwenye mahospitali mbali mbali kutuonyesha kuwa hawapo wagonjwa wa Corona, hali wanaokufa tunawaona.
Wanasayansi wa sayansi za binadamu wako buisy na maisha ya watu ikiwamo ikiwamo haya macorona. Wanasayansi wa sayansi za uhandisi wa miradi ya ujenzi wako buisy na ujenzi wa miradi ya miundombinu mbali mbali ya nchi. Kila Kila mwanataaluma yuko buisy kwenye eneo lake. Hata mfanyabiashara au machinga na mamantilie wako buisy kwenye maeneo yao ya kazi. Kila mtu yuko buisy kwenye eneo lake la kazi, liwe ni la kupashana habari na kadhalika yuko buisy. Mwanasiasa naye yuko buisy kwenye eneo lake la kazi ambalo ni kuwawezesha kwa mali na hali hawa wote kuendelea kuwa buisy na siyo kuwakwamisha. Ndiyo gurudumu la maendeleo ya watu na nchi yao lilivyo.
Watu wa bavicha ndo tuwafanyie majaribio kwa kuwa wana hamu nayo sana.Umezungumza kiutaalam Sana, shida ni hawa watu wa bavicha. Subiri uone
Ninakuvumilia.Haihitaji bavicha kuona utopolo uliojaa kwenye mada.
Hujiulizi kama nyungu ni kama anavyoiongelea mleta mada kwa nini mtu yeyote anakufa kwa Corona duniani?
Utopolo wa hivi kwao ni chattle vijijini jombi.
Mleta mada hana jipya bali ni mwongo wa wazi. Huyu anaweza kuwafumba wajinga tu.
Nadhani mimi na wewe tunaongelea watu wawili tofauti. Mimi ninaongelea mihemuko ya kisiasa aliyoionesha Mnyika jana kwenye vyombo vya habari.
Ninakuvumilia.