Ijue kozi ya Diploma in Diagnostic Radiography (DDR)

LordMasele III

JF-Expert Member
May 22, 2021
280
243
Ddr ni kozi ambayo haifahamiki sana miongoni mwa watu.

Diploma in diagnostic radiography inatolewa na vyuo viwili tu Tanzania ambavyo ni muhas and cuhas
. Ni kozi ambayo degree yake inatolewa na cuhas tu hapa Tanzania lakini pia muhas Wana mpango was kuanzisha degree yake.

Kiufupi katika kozi hii mwanafunzi atafundishwa kuchunguza (diagnose) abnormalities (diseases, trauma etc) kwa kutumia mionzi (radiations) mfano mwanafunzi atafundishwa jinsi ya kutumia x-ray machine, CT SCAN, MRI(non-radiation use), ultrasound machine ili kuchunguza magonjwa (cancer, bone diseases etc) ndani ya mwili wa binadamu lakini pia mtu akipata ajali lazima utafundishwa kuangalia sehemu ya mwili iliyoumia (Traumatic cases) kwa kutumia mionzi.

Kozi hii ni miaka mitatu (duration) na kozi hii ipo under TCU and not under NACTE Kama kozi zingine za diploma.
Kwa maelezo zaidi juu ya kozi hii nzuri unaweza kuyapata kupitia websites za vyuo husika (muhas na cuhas).

Ukipata bahati ya kuchaguliwa muhas utafaidi Sana maana vifaa (modalities such as x-ray machine, CT SCAN, MRI, ultrasound machine, Angiography machine, flouroscopy etc) ni vingi Sana so utakuwa na ujuzi mwingi lakini pia resources zingine Kama vitabu ni vingi Sana maana Kuna Muhas Library 24/7 inafunguliwa kwahiyo mwanafunzi atapata maarifa na ujuzi mwingi Sana katika kozi hii.

Mwisho Kabisa wanafunzi huwa wanafanya rotation zao katika hospitali Kama vile Muhimbili national hospital, Muhimbili orthopaedic institute (MOI), Ocean road Cancer institute (ORCI), Mloganzila Muhimbili hospital na Jakaya Kikwete Cardiac Institute (JKCI).

Nakualika wewe kijana mwenzangu uliye na ndoto za kusoma afya Kama una vigezo karibu usome hii kozi hautojutia maamuzi yako.

Lordfrank student at muhas.
 
Usisahau tu kuwa hawa watu hawahitajiki sana huku kwenye field, kituo kikiwa nae mmoja tu kimeridhika
Inategemea hiyo hospitali ina modalities ngapi mkuu, haiwezekani Kama hospitali ina x-ray, CT SCAN, MRI, ultrasound halafu mtu awe mmoja tu lakini pia Kuna private institution nyingi Sana zinahitaji wataalamu wa mionzi wengi tu. Kitu kingine ni kwamba graduates wa hii kozi siyo wengi Sana mtaani Kama kozi zingine.

Amini hata kwenye kujiajili hii kozi ni nzuri kama unamtaji unaweza nunua ultrasound machine yako unakuwa unatengeza pesa yako.
 
Degree yake inayotolewa CUHAS inaitwaje?

Ambapo ukiwa DDR huwezi kusoma degree ya Radiation Therapy Technology inayotolea na MUHAS
 
Sio rahisi hivyo..naomba nipe statistics ya walio maliza ddr 3 years back je wako wapi sasa?

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Degree yake inayotolewa CUHAS inaitwaje?

Ambapo ukiwa DDR huwezi kusoma degree ya Radiation Therapy Technology inayotolea na MUHAS
Bachelor yake inakuwa combined (diagnostic and therapy). Namba sita.
Ukimaliza DDR muhas unaweza kusoma Bsc in Radiation Therapy Technology.

Screenshot_20210710-092931.png
 
Ddr ni kozi ambayo haifahamiki sana miongoni mwa watu.

Diploma in diagnostic radiography inatolewa na vyuo viwili tu Tanzania ambavyo ni muhas and cuhas
. Ni kozi ambayo degree yake inatolewa na cuhas tu hapa Tanzania lakini pia muhas Wana mpango was kuanzisha degree yake.

Kiufupi katika kozi hii mwanafunzi atafundishwa kuchunguza (diagnose) abnormalities (diseases, trauma etc) kwa kutumia mionzi (radiations) mfano mwanafunzi atafundishwa jinsi ya kutumia x-ray machine, CT SCAN, MRI(non-radiation use), ultrasound machine ili kuchunguza magonjwa (cancer, bone diseases etc) ndani ya mwili wa binadamu lakini pia mtu akipata ajali lazima utafundishwa kuangalia sehemu ya mwili iliyoumia (Traumatic cases) kwa kutumia mionzi.

Kozi hii ni miaka mitatu (duration) na kozi hii ipo under TCU and not under NACTE Kama kozi zingine za diploma.
Kwa maelezo zaidi juu ya kozi hii nzuri unaweza kuyapata kupitia websites za vyuo husika (muhas na cuhas).

Ukipata bahati ya kuchaguliwa muhas utafaidi Sana maana vifaa (modalities such as x-ray machine, CT SCAN, MRI, ultrasound machine, Angiography machine, flouroscopy etc) ni vingi Sana so utakuwa na ujuzi mwingi lakini pia resources zingine Kama vitabu ni vingi Sana maana Kuna Muhas Library 24/7 inafunguliwa kwahiyo mwanafunzi atapata maarifa na ujuzi mwingi Sana katika kozi hii.

Mwisho Kabisa wanafunzi huwa wanafanya rotation zao katika hospitali Kama vile Muhimbili national hospital, Muhimbili orthopaedic institute (MOI), Ocean road Cancer institute (ORCI), Mloganzila Muhimbili hospital.

Nakualika wewe kijana mwenzangu uliye na ndoto za kusoma afya Kama una vigezo karibu usome hii kozi hautojutia maamuzi yako.

Lordfrank student at muhas.
Hiyi kozi Ada ni bei gani Muhas? Pia kuna gharama zingine tofauti na ada?
I mean, mwanafunzi atapaswa kulipia Malazi na Chakula?

Ama akilipa hiyo ada, itaCover vitu vyote?
 
Mwanafunzi atalipia ada lakini pia michango mingine ipo.
Suala la malazi na chakula ni juu ya mwanafunzi mwenyewe.
Ada ni laki nne, michango mingine pia analipia mwanafunzi.
 
Nipe vigezo vya mtu kusomea hiyo course tuendako hawa watu watahitajika mnooo.
 
Laki nne kwa Mwaka? Hostel za hapo chuo shilingi ngapi?
 
Nipe vigezo vya mtu kusomea hiyo course tuendako hawa watu watahitajika mnooo.
Vigezo ni at least C katika masomo ya physics, biology, chemistry and Mathematics kwa O-level.
Ila ukiwa umemaliza form six ukapata D mbili au zaidi unakuwa katika nafasi nzuri zaidi.

Note: competition ni kubwa kwa muhas so unapofanya application weka na cuhas pia.
 
Ila ukifanya hiyo kazi unakuwa na uhakika wa kufa kwa Cancer
Siyo kirahisi Kama unavyofikiria wewe.
Kuna special accessories kumkinga radiographer from scattered radiations.
Lakini pia wafanya kazi wa radiology department huwa wanarotation katika modalities mbalimbali. Mfano leo unakuwa CT SCAN kesho unakuwa MRI( ambayo hii haitumii mionzi) etc, so unakuwa haukai sehemumoja
Vip udhamini upo hapo muhas?
Udhamini haupo! Ni wewe mwanafunzi na mzazi wako, though mazingira ni friendly Sana unalipa ada kwa awamu mbili (semester ya Kwanza na semester ya pili)
 
Back
Top Bottom