LordMasele III
JF-Expert Member
- May 22, 2021
- 280
- 243
Ddr ni kozi ambayo haifahamiki sana miongoni mwa watu.
Diploma in diagnostic radiography inatolewa na vyuo viwili tu Tanzania ambavyo ni muhas and cuhas. Ni kozi ambayo degree yake inatolewa na cuhas tu hapa Tanzania lakini pia muhas Wana mpango was kuanzisha degree yake.
Kiufupi katika kozi hii mwanafunzi atafundishwa kuchunguza (diagnose) abnormalities (diseases, trauma etc) kwa kutumia mionzi (radiations) mfano mwanafunzi atafundishwa jinsi ya kutumia x-ray machine, CT SCAN, MRI(non-radiation use), ultrasound machine ili kuchunguza magonjwa (cancer, bone diseases etc) ndani ya mwili wa binadamu lakini pia mtu akipata ajali lazima utafundishwa kuangalia sehemu ya mwili iliyoumia (Traumatic cases) kwa kutumia mionzi.
Kozi hii ni miaka mitatu (duration) na kozi hii ipo under TCU and not under NACTE Kama kozi zingine za diploma.
Kwa maelezo zaidi juu ya kozi hii nzuri unaweza kuyapata kupitia websites za vyuo husika (muhas na cuhas).
Ukipata bahati ya kuchaguliwa muhas utafaidi Sana maana vifaa (modalities such as x-ray machine, CT SCAN, MRI, ultrasound machine, Angiography machine, flouroscopy etc) ni vingi Sana so utakuwa na ujuzi mwingi lakini pia resources zingine Kama vitabu ni vingi Sana maana Kuna Muhas Library 24/7 inafunguliwa kwahiyo mwanafunzi atapata maarifa na ujuzi mwingi Sana katika kozi hii.
Mwisho Kabisa wanafunzi huwa wanafanya rotation zao katika hospitali Kama vile Muhimbili national hospital, Muhimbili orthopaedic institute (MOI), Ocean road Cancer institute (ORCI), Mloganzila Muhimbili hospital na Jakaya Kikwete Cardiac Institute (JKCI).
Nakualika wewe kijana mwenzangu uliye na ndoto za kusoma afya Kama una vigezo karibu usome hii kozi hautojutia maamuzi yako.
Lordfrank student at muhas.