Ijue kozi ya Diploma in Diagnostic Radiography (DDR)

Ingia websites za vyuo husika uangalie vigezo! Kama ni MUHAS
Mkuu nahitaj kuapply Ddr hapo Muhas kwa Evening track, Lengo langu nisome nikiwa bado nafanya kazi. So ninaomba kwa uzoefu wako unisaidie kujibu maswali yangu hayo mawili ili niweze kuona kama inawezekana kwa ratiba yangu ya job.

1. Kwa wanaosoma Evening, je mitihani yao, clinical rotations / practicals zao, and every thing ni vinafanyika evening?
2. Muda wa masomo ni saa ngap hadi saa ngap kwa evening track?.
 
Janja lang kascore Phys C, chem C, Biol B , B/math F, Eng B vp anaweza kupata chuo gan radiology?
 
Mkuu nahitaj kuapply Ddr hapo Muhas kwa Evening track, Lengo langu nisome nikiwa bado nafanya kazi. So ninaomba kwa uzoefu wako unisaidie kujibu maswali yangu hayo mawili ili niweze kuona kama inawezekana kwa ratiba yangu ya job.

1. Kwa wanaosoma Evening, je mitihani yao, clinical rotations / practicals zao, and every thing ni vinafanyika evening?
2. Muda wa masomo ni saa ngap hadi saa ngap kwa evening track?.
Masomo ni saa 8 mchana mpaka saa mbili usiku japo kara nyingi wanaanza saa 9 wanatoka hata saa 11.
Clinical Rotation muda ni ule ule masaa ya kazi tofauti ni kwamba wao wanarotate siku tofaut na Regular.
 
Inategemea hiyo hospitali ina modalities ngapi mkuu, haiwezekani Kama hospitali ina x-ray, CT SCAN, MRI, ultrasound halafu mtu awe mmoja tu lakini pia Kuna private institution nyingi Sana zinahitaji wataalamu wa mionzi wengi tu. Kitu kingine ni kwamba graduates wa hii kozi siyo wengi Sana mtaani Kama kozi zingine.

Amini hata kwenye kujiajili hii kozi ni nzuri kama unamtaji unaweza nunua ultrasound machine yako unakuwa unatengeza pesa yako.
Course hii ninzuri sana sana,nimeapply sana lkn sipati ikiwemo msimu huu ,je majibu hapo muhas yameshatoka kaka!!
 
Tatizo lako unataka wakujue Kama unasoma DDR that's bullshit, we Kama msomi unaeijua DDR ungekuja na additional point ambayo Mimi mtoa mada sikuiandika na siyo kuropoka.

Meaning no offense
Oyaaaa,ddr evening class ndio ipi hyo tena kaka???
 
Masomo ni saa 8 mchana mpaka saa mbili usiku japo kara nyingi wanaanza saa 9 wanatoka hata saa 11.
Clinical Rotation muda ni ule ule masaa ya kazi tofauti ni kwamba wao wanarotate siku tofaut na Regular.
Naona waliosoma miaka ya nyuma sana hawachaguliwi licha yakua navigezo au cjui ni competition au nn
 
Ddr ni kozi ambayo haifahamiki sana miongoni mwa watu.

Diploma in diagnostic radiography inatolewa na vyuo viwili tu Tanzania ambavyo ni muhas and cuhas
. Ni kozi ambayo degree yake inatolewa na cuhas tu hapa Tanzania lakini pia muhas Wana mpango was kuanzisha degree yake.

Kiufupi katika kozi hii mwanafunzi atafundishwa kuchunguza (diagnose) abnormalities (diseases, trauma etc) kwa kutumia mionzi (radiations) mfano mwanafunzi atafundishwa jinsi ya kutumia x-ray machine, CT SCAN, MRI(non-radiation use), ultrasound machine ili kuchunguza magonjwa (cancer, bone diseases etc) ndani ya mwili wa binadamu lakini pia mtu akipata ajali lazima utafundishwa kuangalia sehemu ya mwili iliyoumia (Traumatic cases) kwa kutumia mionzi.

Kozi hii ni miaka mitatu (duration) na kozi hii ipo under TCU and not under NACTE Kama kozi zingine za diploma.
Kwa maelezo zaidi juu ya kozi hii nzuri unaweza kuyapata kupitia websites za vyuo husika (muhas na cuhas).

Ukipata bahati ya kuchaguliwa muhas utafaidi Sana maana vifaa (modalities such as x-ray machine, CT SCAN, MRI, ultrasound machine, Angiography machine, flouroscopy etc) ni vingi Sana so utakuwa na ujuzi mwingi lakini pia resources zingine Kama vitabu ni vingi Sana maana Kuna Muhas Library 24/7 inafunguliwa kwahiyo mwanafunzi atapata maarifa na ujuzi mwingi Sana katika kozi hii.

Mwisho Kabisa wanafunzi huwa wanafanya rotation zao katika hospitali Kama vile Muhimbili national hospital, Muhimbili orthopaedic institute (MOI), Ocean road Cancer institute (ORCI), Mloganzila Muhimbili hospital na Jakaya Kikwete Cardiac Institute (JKCI).

Nakualika wewe kijana mwenzangu uliye na ndoto za kusoma afya Kama una vigezo karibu usome hii kozi hautojutia maamuzi yako.

Lordfrank student at muhas.
Kaka naomb uni

Mkuu naomb uniamby ada kwa Sasa ni kias gn.

Na vp kjan Wang mwenye matokeo ya O-level
Phys C
Chem C
Biol B
B/math F
Anaweza kuchguliw?
 
Masomo ni saa 8 mchana mpaka saa mbili usiku japo kara nyingi wanaanza saa 9 wanatoka hata saa 11.
Clinical Rotation muda ni ule ule masaa ya kazi tofauti ni kwamba wao wanarotate siku tofaut na Regular.
Saa 8 Hadi saa 2 kwa siku vipindi vi ngapi?
 
Back
Top Bottom