Ijue kozi ya Diploma in Diagnostic Radiography (DDR)

Ijue kozi ya Diploma in Diagnostic Radiography (DDR)

Mtoa maada unapoulizwa jibu kwa ukamilifu. Nashangaa unavyodanganya kwamba ada ya DDR ni 400K bila kuwa specific. Mimi nalipa ada 1.2M kwa DDR kwa hiyo eleza vema kwamba mtu akipata bahati ya kuchaguliwa kama regular student ndo atalipa 400K otherwise akichaguliwa DDR-Evening ada ni 1.2M na michango mingine kibao.
Tatizo lako unataka wakujue Kama unasoma DDR that's bullshit, we Kama msomi unaeijua DDR ungekuja na additional point ambayo Mimi mtoa mada sikuiandika na siyo kuropoka😉.

Meaning no offense 😅
 
Samahani kk ntakuwa nakuulza maswal usinchoke kwa 7bu nmechaguliwa pale muhas diagnostic and therapeutic radiography sa natka niijue indeep tu ni nn nachoenda kukisomea
Degree eeh!?!?
Unaenda kusomea mambo ambayo utakuja kufanya kazi Hospitalini, kwenye vitengo vya "X-RAY", "UTRASOUND"...na pengine kwenda kwenye kitengo cha "Tiba kwa mionzi"

"X-ray ni kuchukua picha ya part za mwili ambazo ni ngumu eg Bones/joints ili kuona zipo sawa ama kuna mpasuko etc.

"Utrasound kuna kupima/kupata picha/kuziangalia part/organs za mwili ambazo ni laini eg Figo kuona kama zina mabadiliko compaired to their normal structure.

Degree hiyo ni nzuri sana, ni mpya TZ. Muhas imeanzishwa Mwaka huu 2021/2022. Cuhas ilianzishwa mwaka jana 2020/2021 kama sikosei.

So, mpo wachache....Maana wengu wanaofanya kazi vitengo hivyo wana Diploma,labda kama kuna wachache walioenda kusomea Nje ya Nchi Degree.

Kakaze buti.

Sent from my SM-J200F using JamiiForums mobile app
 
Inategemea hiyo hospitali ina modalities ngapi mkuu, haiwezekani Kama hospitali ina x-ray, CT SCAN, MRI, ultrasound halafu mtu awe mmoja tu lakini pia Kuna private institution nyingi Sana zinahitaji wataalamu wa mionzi wengi tu. Kitu kingine ni kwamba graduates wa hii kozi siyo wengi Sana mtaani Kama kozi zingine.

Amini hata kwenye kujiajili hii kozi ni nzuri kama unamtaji unaweza nunua ultrasound machine yako unakuwa unatengeza pesa yako.
Cuhas wanachukua watu 100 every intake hii itaharb kabisa plus muhas Kuna regular 35 na evening 35 that's make total 170 per year hivo mtaan watajaa sana trust me
 
Degree yake inayotolewa CUHAS inaitwaje?

Ambapo ukiwa DDR huwezi kusoma degree ya Radiation Therapy Technology inayotolea na MUHAS
Cuhas inaitwa MEDICAL IMAGING AND RADIOTHERAPY ni miaka minne imeanza 2019 pia muhas imeanza mwaka huu imebadilika kutoka Radiation therapy Technology na kuwa DIAGNOSTIC AND THERAPEUTIC RADIOGRAPHY ni miaka minne na imeanza mwaka huu 2021/2022
 
Mwanafunzi atalipia ada lakini pia michango mingine ipo.
Suala la malazi na chakula ni juu ya mwanafunzi mwenyewe.
Ada ni laki nne, michango mingine pia analipia mwanafunzi.
Malazi ni 150k kwa muhas chakula unajitegemea ada ni 776K kwa regular na evening ni 1.5 M
 
Mwanafunzi atalipia ada lakini pia michango mingine ipo.
Suala la malazi na chakula ni juu ya mwanafunzi mwenyewe.
Ada ni laki nne, michango mingine pia analipia mwanafunzi.
Acha uongo hii kozi sio laki nne ... regular wanalipa 776000 na evening wanalipa 1.5M
 
Cuhas wanachukua watu 100 every intake hii itaharb kabisa plus muhas Kuna regular 35 na evening 35 that's make total 170 per year hivo mtaan watajaa sana trust me
The matter is competency, usiangalie wengi wa wanafunzi mkuu, fanya uwe tofauti na wengine.
Maanake fanya kila njia uwe competent mkuu chances are there for you
 
Cuhas inaitwa MEDICAL IMAGING AND RADIOTHERAPY ni miaka minne imeanza 2019 pia muhas imeanza mwaka huu imebadilika kutoka Radiation therapy Technology na kuwa DIAGNOSTIC AND THERAPEUTIC RADIOGRAPHY ni miaka minne na imeanza mwaka huu 2021/2022
Mbona unarudia maelezo yangu......soma kwa maelezo yangu vizuri! Unakwama wapi!?
 
Mkuu kuhusu mshahara nitakudanganya but the truth is hii ni kozi nzuri inakufanya ujiajili mwenyewe.

Hii kozi inakufanya uanze kupata some money ukiwa chuoni Kama unajua vizuri modalities zote mfano ukiwa unajua x-ray, CT SCAN, MRI Vizuri chiefu anaweza kukwambia umshikie zamu yake ya usiku maanake hapo anakupa hela kidogo so maisha yanasonga mbele.

Kiukweli nisiseme Sana Ila hii kozi ukisoma hautojutia hata

Degree eeh!?!?
Unaenda kusomea mambo ambayo utakuja kufanya kazi Hospitalini, kwenye vitengo vya "X-RAY", "UTRASOUND"...na pengine kwenda kwenye kitengo cha "Tiba kwa mionzi"

"X-ray ni kuchukua picha ya part za mwili ambazo ni ngumu eg Bones/joints ili kuona zipo sawa ama kuna mpasuko etc.

"Utrasound kuna kupima/kupata picha/kuziangalia part/organs za mwili ambazo ni laini eg Figo kuona kama zina mabadiliko compaired to their normal structure.

Degree hiyo ni nzuri sana, ni mpya TZ. Muhas imeanzishwa Mwaka huu 2021/2022. Cuhas ilianzishwa mwaka jana 2020/2021 kama sikosei.

So, mpo wachache....Maana wengu wanaofanya kazi vitengo hivyo wana Diploma,labda kama kuna wachache walioenda kusomea Nje ya Nchi Degree.

Kakaze buti.

Sent from my SM-J200F using JamiiForums mobile app
Ndio n degree shukran kk
 
Cuhas inaitwa MEDICAL IMAGING AND RADIOTHERAPY ni miaka minne imeanza 2019 pia muhas imeanza mwaka huu imebadilika kutoka Radiation therapy Technology na kuwa DIAGNOSTIC AND THERAPEUTIC RADIOGRAPHY ni miaka minne na imeanza mwaka huu 2021/2022
Ahsante kwa muongozo.

Kazi kwa vijana
 
Mkuu hiyo kozi kwa sasa ni hela hasa ukijiongeza...
Inategemea hiyo hospitali ina modalities ngapi mkuu, haiwezekani Kama hospitali ina x-ray, CT SCAN, MRI, ultrasound halafu mtu awe mmoja tu lakini pia Kuna private institution nyingi Sana zinahitaji wataalamu wa mionzi wengi tu. Kitu kingine ni kwamba graduates wa hii kozi siyo wengi Sana mtaani Kama kozi zingine.

Amini hata kwenye kujiajili hii kozi ni nzuri kama unamtaji unaweza nunua ultrasound machine yako unakuwa unatengeza pesa yako.
 
Mkuu Inamaana kwa mwaka wanagraduate watu 100-170 kumbuka kuna vifo na hospital nyingi za kisasa zinajengwa pia kuna watu zaidi ya 40M+ wanataka huduma hivyo hiyo kozi bado ni dili kwa miaka 20 ijayo mimi clinical officer na nimekaa mtaani nafanya kazi na kujiajiri pia naona umuhimu wa hiyo kozi ina hela sana mzee baba na uhitaji mkubwa sana wa wafanyakazi.
Cuhas wanachukua watu 100 every intake hii itaharb kabisa plus muhas Kuna regular 35 na evening 35 that's make total 170 per year hivo mtaan watajaa sana trust me
 
Aisee ungeelewa alichosema mtoa mada nadhani ungefuta hii comment sijui imekuaje watu hamsomi kwa kuelewa hata vitu vidogo.
Acha uongo hii kozi sio laki nne ... regular wanalipa 776000 na evening wanalipa 1.5M
 
Ddr ni kozi ambayo haifahamiki sana miongoni mwa watu.

Diploma in diagnostic radiography inatolewa na vyuo viwili tu Tanzania ambavyo ni muhas and cuhas
. Ni kozi ambayo degree yake inatolewa na cuhas tu hapa Tanzania lakini pia muhas Wana mpango was kuanzisha degree yake.

Kiufupi katika kozi hii mwanafunzi atafundishwa kuchunguza (diagnose) abnormalities (diseases, trauma etc) kwa kutumia mionzi (radiations) mfano mwanafunzi atafundishwa jinsi ya kutumia x-ray machine, CT SCAN, MRI(non-radiation use), ultrasound machine ili kuchunguza magonjwa (cancer, bone diseases etc) ndani ya mwili wa binadamu lakini pia mtu akipata ajali lazima utafundishwa kuangalia sehemu ya mwili iliyoumia (Traumatic cases) kwa kutumia mionzi.

Kozi hii ni miaka mitatu (duration) na kozi hii ipo under TCU and not under NACTE Kama kozi zingine za diploma.
Kwa maelezo zaidi juu ya kozi hii nzuri unaweza kuyapata kupitia websites za vyuo husika (muhas na cuhas).

Ukipata bahati ya kuchaguliwa muhas utafaidi Sana maana vifaa (modalities such as x-ray machine, CT SCAN, MRI, ultrasound machine, Angiography machine, flouroscopy etc) ni vingi Sana so utakuwa na ujuzi mwingi lakini pia resources zingine Kama vitabu ni vingi Sana maana Kuna Muhas Library 24/7 inafunguliwa kwahiyo mwanafunzi atapata maarifa na ujuzi mwingi Sana katika kozi hii.

Mwisho Kabisa wanafunzi huwa wanafanya rotation zao katika hospitali Kama vile Muhimbili national hospital, Muhimbili orthopaedic institute (MOI), Ocean road Cancer institute (ORCI), Mloganzila Muhimbili hospital.

Nakualika wewe kijana mwenzangu uliye na ndoto za kusoma afya Kama una vigezo karibu usome hii kozi hautojutia maamuzi yako.

Lordfrank student at muhas.
Muhas wameongeza Degree yake Tayar
 
Back
Top Bottom