Red Giant
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 15,658
- 20,889
Kozi moja nzuri sana. Na soko duniani lipo la kutosha.Siyo kirahisi Kama unavyofikiria wewe.
Kuna special accessories kumkinga radiographer from scattered radiations.
Lakini pia wafanya kazi wa radiology department huwa wanarotation katika modalities mbalimbali. Mfano leo unakuwa CT SCAN kesho unakuwa MRI( ambayo hii haitumii mionzi) etc, so unakuwa haukai sehemumoja
Udhamini haupo! Ni wewe mwanafunzi na mzazi wako, though mazingira ni friendly Sana unalipa ada kwa awamu mbili (semester ya Kwanza na semester ya pili)