Ijue kozi ya Diploma in Diagnostic Radiography (DDR)

Watu wa half life,nuclear physics na harmful radiation mkuje kutoa muongozo ,apo juu cjaona at a walichoshauri
 
This time around we don't focus much kwenye mishahara but nachojua hii kozi ni nzuri Sana hata kwenye kujiajili.

Note: Bachelor yake imeanzisha na muhas pia mwaka huu.
Physics D
Math C
Bios B
Chemi C

Kwa hapo kuna uwezekano wa kupata Bugando kweli?
 
Salaam wakuu,
Naomba kuuliza Admision latter and documents za DDR MUHAS 2022/3 Nazipataje maana hizi tulizopewa kwenye Account hazipakuliki wala hazifunguki.

Naomba japo mwenye sample ya Mwaka jana nijarib kurelate mambo.

Msaada tafadhal.
 
Tumejaribu kupiga simu hazitumiki zingine ziko busy muda wote siku zote. email hazijibiwi, Siku zinasonga hizi zilizopo kwenye Account zingine ukifanikiwa kuzipakua basi utakuta ni empty page, Ni week ya pili sasa.

Nahitaj ufumbuzi wa hili jambo tu hata kwa ushauri kama ukikwama kama mimi.

Amani itawale.
 
Usiwe na haraka, baada ya Muda zitapakulika tu.
Usiwe na haraka please.
 
Salaam wakuu,
Naomba kuuliza Admision latter and documents za DDR MUHAS 2022/3 Nazipataje maana hizi tulizopewa kwenye Account hazipakuliki wala hazifunguki.

Naomba japo mwenye sample ya Mwaka jana nijarib kurelate mambo.

Msaada tafadhal.
Relax mkuu zitapakulika tu au kama upo dar nenda hapo muhas watakusaidia mkuu.
 
Tumejaribu kupiga simu hazitumiki zingine ziko busy muda wote siku zote. email hazijibiwi, Siku zinasonga hizi zilizopo kwenye Account zingine ukifanikiwa kuzipakua basi utakuta ni empty page, Ni week ya pili sasa.

Nahitaj ufumbuzi wa hili jambo tu hata kwa ushauri kama ukikwama kama mimi.

Amani itawale.
Mkuu we umeshachaguliwa, usijitie pressure, baada ya Muda zitakuwepo, miaka yote Huwa iko hivo tu.
Relax, muhas is Yours and DDR is yours.
 
Ddr ni kozi ambayo haifahamiki sana miongoni mwa watu.

Diploma in diagnostic radiography inatolewa na vyuo viwili tu Tanzania ambavyo ni muhas and cuhas
. Ni kozi ambayo degree yake inatolewa na cuhas tu hapa Tanzania lakini pia muhas Wana mpango was kuanzisha degree yake.

Kiufupi katika kozi hii mwanafunzi atafundishwa kuchunguza (diagnose) abnormalities (diseases, trauma etc) kwa kutumia mionzi (radiations) mfano mwanafunzi atafundishwa jinsi ya kutumia x-ray machine, CT SCAN, MRI(non-radiation use), ultrasound machine ili kuchunguza magonjwa (cancer, bone diseases etc) ndani ya mwili wa binadamu lakini pia mtu akipata ajali lazima utafundishwa kuangalia sehemu ya mwili iliyoumia (Traumatic cases) kwa kutumia mionzi.

Kozi hii ni miaka mitatu (duration) na kozi hii ipo under TCU and not under NACTE Kama kozi zingine za diploma.
Kwa maelezo zaidi juu ya kozi hii nzuri unaweza kuyapata kupitia websites za vyuo husika (muhas na cuhas).

Ukipata bahati ya kuchaguliwa muhas utafaidi Sana maana vifaa (modalities such as x-ray machine, CT SCAN, MRI, ultrasound machine, Angiography machine, flouroscopy etc) ni vingi Sana so utakuwa na ujuzi mwingi lakini pia resources zingine Kama vitabu ni vingi Sana maana Kuna Muhas Library 24/7 inafunguliwa kwahiyo mwanafunzi atapata maarifa na ujuzi mwingi Sana katika kozi hii.

Mwisho Kabisa wanafunzi huwa wanafanya rotation zao katika hospitali Kama vile Muhimbili national hospital, Muhimbili orthopaedic institute (MOI), Ocean road Cancer institute (ORCI), Mloganzila Muhimbili hospital.

Nakualika wewe kijana mwenzangu uliye na ndoto za kusoma afya Kama una vigezo karibu usome hii kozi hautojutia maamuzi yako.

Lordfrank student at muhas.
je inaitaji vigezo vip kujiunga na kozi hii?
 
16 Reactions
Reply
Back
Top Bottom