Ifike muda wanaume mjipende na kujiheshimu

Ifike muda wanaume mjipende na kujiheshimu

Kuna rafiki yangu alinihadithiaga kuna alikuwa na appointment na shemeji sasa akarequest bolt ya bodaboda hadi hapo kwenye hiyo Lodge. Akaja boda akapanda hadi sehemu husika, akaachwa getini kabisa.

Sasa amekaa siku siyo nyingi anaona namba ngeni imempigia, akapokea akajitambulisha yeye ni yule boda aliyempeleka siku flani kule eneo flani, kama ana muda waongee, akamwambia atamcheki, akampotezea.

Baadae akampigia akamuuliza mbona hajamcheki akamwambia alikuwa bize, akaanza kumuuliza kama ameolewa, akamjibu tu kistaarabu hajaolewa ila yupo kwenye mahusiano. Akamwambia dah! Nilikuwa nataka nijaribu bahati yangu.

Wanaume hamna nidhamu ya uoga, wala kujali afya zenu kabisa mtu umempeleka hadi Lodge na unajua kabisa kinachoenda kutendeka humo na bado unamtongoza, WTF


Cc. secretarybird
holoholo
Mshangazi dot com
Nomadix
Nusratt
Poor Brain
Mbaga Jr
Usichojua sisi wanaume tunawaona wanawake wanaoingia logde ni kama wanajiuza tu.
 
mnamiliki kitu muhimu sana yaani sana acha tu tuitolee pesa walahi msitunyime raha jamani
Ila jamani pussy ipewe heshima yake🙌🙌🙌🙌🙌
Hiki kitu jamani inaongeza ujasiri kichwani kwa mwanamke yeyote.

Sawa mnasemaga kuwa inatisha kwa sura na muonekano, ila ndio hii hii huwa inabeba 75% ya 🧠 wa wanaume 😃😃😃.

Au nasema uongo ndugu yangu?
 
Ndo mana mm najihusisha na shughuli za upigaji nyeto tuu, mambo ya kupewa umeme na kubaki kilo mbili kisa kushindwa ku-control nyege zangu sitaki aisee

secretarybird kuna kipindi nilipiga nyeto mpaka ukuni ukawa na blue 🙌 ndo nataka hvy sasa 🔥
kaka unapanda mnazi na mkono mmoja 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀
 
Ni kweli hakuna mkamilifu lakini, ni heri usijue kuliko unaona kwa macho yako na bado baadae unaomba show
Upo sahihi pia, but Kwa upande wangu Mimi Kipaumbele changu Mimi ni ukweli. Napenda kujua ukweli no matter how hard it is for me to hold, Ni rahisi sana ku deal na mwanamke mkweli atakama anamadhaifu Gani kuliko ambaye sijui vingi kumuhusu.

Kwangu mwanamke Malaya ninayemjua ni Malaya Tangu mwanzo hanipi tabu kabisa kuwanae kuliko anayejifanya mstaarabu alafu nijue ana cheat dah! Naweza nimfanye kitu mbaya sana. Mimi kwangu ni Bora huyo aliyepelekwa guest house kuliko anayeshinda ibadani kumbe ni mshenzi, najua huwez kuelewa nawaza Nini ila nmejitahid sana kueleza. In short Bora Hamsini yakwako kuliko mia uliomshkia mtu.
 
Ila jamani pussy ipewe heshima yake🙌🙌🙌🙌🙌
Hiki kitu jamani inaongeza ujasiri kichwani kwa mwanamke yeyote.

Sawa mnasemaga kuwa inatisha kwa sura na muonekano, ila ndio hii hii huwa inabeba 75% ya 🧠 wa wanaume 😃😃😃.

Au nasema uongo ndugu yangu?
Hii kitu itawamaliza wanaume wengi
 
Punguza wivu mkuu.
Tunatagiana maana wengine hawataki kuonekana kama waruwaru humu ila huko Pm ni vibambala wa kutupwa.
Maninaaaa...
Kuna siku nikaona mdada anataka mwanaume kule kwa uzi wa love connection...
Bana wee si nikajichanganya daaaaah aiseeee..

Humu ndani kuna mafaza hawajiheshimu..
Hawana akili an bora mimi najiita poor brain..

Yule ni faza alafu anajiita jina la kike na kaandika uzi anataka mwanaume kaweka na vigezo..

Naenda nashusha swaga anaanza kunitukana na kutaja viungo vya kike...

Nikamuomba msamaha yakaisha..
Mpaka leo tunapishana tuu ila maisha haya..

Humu ndani anayejitambua sana sana ni vishu na Dennis Roberts... Au vishu ndo huyo huyo dennis japo wanasma dennis ni lamomy
 
Back
Top Bottom