GE2025 If not lip services, Lissu anaachiwa, Chadema inashiriki uchaguzi, TAL Mgombea Urais, tunafanya uchaguzi mkuu huru na wa haki kweli

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Wanabodi
Kufuatia mazungumzo ya rais wa TLS juzi kuomba kuonana na Rais Samia,kumuomba pamoja na mambo mengine,ni kuomba Lissu aachiwe,kanuni za uchaguzi zirekebishwe,Chadema ishiriki uchaguzi.

Kiukweli,sijawahi kuona rais msikivu kama Samia!,siku ya Jumanne mtu aombe kumuona rais,kesho yake Jumatano nafasi ikapatikana Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, Rais Samia ni msikivu, apewe maua yake. Vipi Serikali yake, Bunge na mahakama ni wasikivu? Kama sio inamanisha

Siku zote nimekuwa nikilalamika humu kuwa wasaidizi wa Rais Samia sheria hawamsaidii,wanamuogopa na kushindwa kumwambia ukweli,hii kesi ya uhaini ya Lissu ni hakuna kitu pale! Pre GE2025 - Wazalendo Wapenda Haki, Msiwe na Wasiwasi, Uhaini ni Matendo na Mipango Mkakati wa Kuutenda, Sio Maneno!, Maneno ni Sedition tuu na Sio Treason!

TLS ni wasaidizi wa Samia wa sheria,sisi TLS hatumuogopi Samia hivyo nilishauri tumweleze ukweli Rais Samia Mgeni Rasmi AGM ya TLS: Wanasheria Tumweleze Ukweli Kuhusu Ubatili wa Katiba Yetu na Sheria Zetu, Turudishe Haki Kuu ya Msingi

Jana hili limetokea kama zali, TLS imekutana na Samia,na tumemweleza hili la Lissu Rais wa TLS: Tumezungumza mengi na Rais Samia

Kama hoja hizi za TLS ni za kweli, na sio Lip Services, then Tundu Lissu anakwenda kuachiwa, kanuni za uchaguzi zinarejewa, Chadema inafuta NRNE ,Inashiriki Uchaguzi, TAL Mgombea Urais wa Chadema, Tunafanya Uchaguzi Mkuu Huru na wa Haki Kweli!

NB:Angalizo,isije kuwa TLS wamepigwa tuu sound,lip services!Je, kuna uwezekano baadhi ya Viongozi wetu wanatoa baadhi ya Ahadi kwa "Paying lip Services"?

Hili la watu kupigwa sound, niliwahi kumshauri Mama Mama don't preach. I think we've had enough of Preaching about law, justice & human rights. Would you Please just Practice what you Preach?

Pia tulimsisitiza Mama Ombi kwa Rais Samia, tunakushukuru kwa mahubiri mazuri kuhusu haki, tunakuomba utende unachohubiri yasibaki kuwa maneno tuu lakini vitendo ni tofauti

Kuhusu kuachiliwa kwa haka ka simba ka Kizimkazi, Pongezi Rais Samia kwa Tanzania kuwa Kinara Uhuru wa Habari, EAC, Vipi Kale ka 'Simba ka Kizimkazi' Mnaonaje Kaachiwe?, Kanatuvurugia Sana Amani?

Mungu Ibariki Tanzania

Paskal
Unaongea na KIZIWI kwa lugha ya kawaida? Unapoteza muda wako.
Samia anasumbuliwa na INFERIORITY COMPLEX hajiamini na hatakaa ajiamini mifano ni mingi.
Sasa ona mapolisi waliojihami walivyojazana huko nje . UTAFIKIRI VITA.
Chama kinachokubalika kinazindua kampeni chini ya POLISI WOTE HAWA?
UWOGA WA NN? WANAMUOGOPA NANI??
 
Bunge limemaliza kipindi chake kikatiba. Hizo minimum reforms zitafanyikaje wakati Bunge halipo?
Haya ni maneno ya kipuuzi.
Unachelewesha jambo ambalo unajua liliwezekana kisha unatoa sababu kujustfy ujinga.
Samia akifa leo tutaendelea na uchaguzi kwakuwa muda hautoshi ?
 
Wanabodi
Kufuatia mazungumzo ya rais wa TLS juzi kuomba kuonana na Rais Samia,kumuomba pamoja na mambo mengine,ni kuomba Lissu aachiwe,kanuni za uchaguzi zirekebishwe,Chadema ishiriki uchaguzi.

Kiukweli,sijawahi kuona rais msikivu kama Samia!,siku ya Jumanne mtu aombe kumuona rais,kesho yake Jumatano nafasi ikapatikana Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, Rais Samia ni msikivu, apewe maua yake. Vipi Serikali yake, Bunge na mahakama ni wasikivu? Kama sio inamanisha

Siku zote nimekuwa nikilalamika humu kuwa wasaidizi wa Rais Samia sheria hawamsaidii,wanamuogopa na kushindwa kumwambia ukweli,hii kesi ya uhaini ya Lissu ni hakuna kitu pale! Pre GE2025 - Wazalendo Wapenda Haki, Msiwe na Wasiwasi, Uhaini ni Matendo na Mipango Mkakati wa Kuutenda, Sio Maneno!, Maneno ni Sedition tuu na Sio Treason!

TLS ni wasaidizi wa Samia wa sheria,sisi TLS hatumuogopi Samia hivyo nilishauri tumweleze ukweli Rais Samia Mgeni Rasmi AGM ya TLS: Wanasheria Tumweleze Ukweli Kuhusu Ubatili wa Katiba Yetu na Sheria Zetu, Turudishe Haki Kuu ya Msingi

Jana hili limetokea kama zali, TLS imekutana na Samia,na tumemweleza hili la Lissu Rais wa TLS: Tumezungumza mengi na Rais Samia

Kama hoja hizi za TLS ni za kweli, na sio Lip Services, then Tundu Lissu anakwenda kuachiwa, kanuni za uchaguzi zinarejewa, Chadema inafuta NRNE ,Inashiriki Uchaguzi, TAL Mgombea Urais wa Chadema, Tunafanya Uchaguzi Mkuu Huru na wa Haki Kweli!

NB:Angalizo,isije kuwa TLS wamepigwa tuu sound,lip services!Je, kuna uwezekano baadhi ya Viongozi wetu wanatoa baadhi ya Ahadi kwa "Paying lip Services"?

Hili la watu kupigwa sound, niliwahi kumshauri Mama Mama don't preach. I think we've had enough of Preaching about law, justice & human rights. Would you Please just Practice what you Preach?

Pia tulimsisitiza Mama Ombi kwa Rais Samia, tunakushukuru kwa mahubiri mazuri kuhusu haki, tunakuomba utende unachohubiri yasibaki kuwa maneno tuu lakini vitendo ni tofauti

Kuhusu kuachiliwa kwa haka ka simba ka Kizimkazi, Pongezi Rais Samia kwa Tanzania kuwa Kinara Uhuru wa Habari, EAC, Vipi Kale ka 'Simba ka Kizimkazi' Mnaonaje Kaachiwe?, Kanatuvurugia Sana Amani?

Mungu Ibariki Tanzania

Paskal
Ataachiwa mwakani mwezi wa pili
 
Sawa mke wa lissu
Yule babu wa misikitini mliye mtag kwenye ule uzi tulio kuwa tunajadili kama ni kweli waislamu ndiyo walikuwa wapigania uhuru mbona kajificha mpaka sasa 😁😁😁 waislamu wacheni masihara na dunia ... nilikuwa namsubiri sasa ni wafunge midomo waislamu wote ..msinge thubutu kusema tena kuwa waislamu ndiyo walipigania uhuru wa tanganyika
 
Ataachiwa mwakani mwezi wa pili
Hawa mapolisi huku KAWE wanalinda nn sasa? Mana wapo tangu saa 8 usiku wakiwa na silaha za moto?
Chama kinachokubalika kinazinduaje kampeni kwa mitutu ya bunduki?
Ona watu wanavyosombwa na magari kupelekwa kwenye mkutano.
Si kinakubalika kwann wasije wenyewe???
 
Lissu familia yake Wana uraia wa marekani,akiwa rais itakua vipi kuwa na first lady mmarekani!?..
Anyways,hakuna huo muda wa kufanya minimal reforms,labda lissu aachiwe aende ughaibuni kuishi na familia yake
Hata Nelson Mandela Familia yake ilikuwa Moshi mkoani Kilimanjaro lakini akawa Rais wa SA ndio sababu Wachaga wamejazana Bondeni 😄
 
Hawa mapolisi huku KAWE wanalinda nn sasa? Mana wapo tangu saa 8 usiku wakiwa na silaha za moto?
Chama kinachokubalika kinazinduaje kampeni kwa mitutu ya bunduki?
Ona watu wanavyosombwa na magari kupelekwa kwenye mkutano.
Si kinakubalika kwann wasije wenyewe???
Njia panda ya mbinguni
 
Akiachiwa na marekebisho ya sheria yakafanyika kwa kiasi kikubwa na wakashiriki uchaguzi,hii itakua changamoto kubwa kwa ACT na CHAUMMA,naona itakua ni kinyume na matarajio yao na CHADEMA itapata wabunge wengi sana kuonyesha mabadiliko yalifanyika.
Matarajio gani ya ACT-WAZALENDO na Chaumma? Hawa walisema reforms ni muhimu lakini kususia uchaguzi sio njia sahihi. Chadema wakakaza shingo kuwa bila reforms za maana katika mfumo wa uchaguzi na sheria nyingine hakuna uchaguzi.

Chadema wakikubali kuingia kwenye uchaguzi bila reforms za maana itaonyesha wamekula matapishi yao na wameipata CCM ushindi wa bure. Wakipata wabunge itakuwa uthibitisho thika kuwa ni zawadi kwa kulegitimise uchaguzi ambao siku zote wamekuwa wakituaminisha kuwa si wa haki! Watajitetea vipi watu wakiwaambia kuwa wamefuata takrima ya gari na ruzuku?

Na wafuasi wao watakapoenguliwa na wengine kuumizwa wakati wa kampeni watawaambia nini? Kwa vyovyote vile mshindi atakuwa CCM. Chaumma nao wataonekana kuwa ni watu wenye msimamo na wanaojua siasa za Tanzania kuliko uongozi wa Chadema wa sasa.

Amandla...
 
Wanabodi
Kufuatia mazungumzo ya rais wa TLS juzi kuomba kuonana na Rais Samia,kumuomba pamoja na mambo mengine,ni kuomba Lissu aachiwe,kanuni za uchaguzi zirekebishwe,Chadema ishiriki uchaguzi.

Kiukweli,sijawahi kuona rais msikivu kama Samia!,siku ya Jumanne mtu aombe kumuona rais,kesho yake Jumatano nafasi ikapatikana Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, Rais Samia ni msikivu, apewe maua yake. Vipi Serikali yake, Bunge na mahakama ni wasikivu? Kama sio inamanisha

Siku zote nimekuwa nikilalamika humu kuwa wasaidizi wa Rais Samia sheria hawamsaidii,wanamuogopa na kushindwa kumwambia ukweli,hii kesi ya uhaini ya Lissu ni hakuna kitu pale! Pre GE2025 - Wazalendo Wapenda Haki, Msiwe na Wasiwasi, Uhaini ni Matendo na Mipango Mkakati wa Kuutenda, Sio Maneno!, Maneno ni Sedition tuu na Sio Treason!

TLS ni wasaidizi wa Samia wa sheria,sisi TLS hatumuogopi Samia hivyo nilishauri tumweleze ukweli Rais Samia Mgeni Rasmi AGM ya TLS: Wanasheria Tumweleze Ukweli Kuhusu Ubatili wa Katiba Yetu na Sheria Zetu, Turudishe Haki Kuu ya Msingi

Jana hili limetokea kama zali, TLS imekutana na Samia,na tumemweleza hili la Lissu Rais wa TLS: Tumezungumza mengi na Rais Samia

Kama hoja hizi za TLS ni za kweli, na sio Lip Services, then Tundu Lissu anakwenda kuachiwa, kanuni za uchaguzi zinarejewa, Chadema inafuta NRNE ,Inashiriki Uchaguzi, TAL Mgombea Urais wa Chadema, Tunafanya Uchaguzi Mkuu Huru na wa Haki Kweli!

NB:Angalizo,isije kuwa TLS wamepigwa tuu sound,lip services!Je, kuna uwezekano baadhi ya Viongozi wetu wanatoa baadhi ya Ahadi kwa "Paying lip Services"?

Hili la watu kupigwa sound, niliwahi kumshauri Mama Mama don't preach. I think we've had enough of Preaching about law, justice & human rights. Would you Please just Practice what you Preach?

Pia tulimsisitiza Mama Ombi kwa Rais Samia, tunakushukuru kwa mahubiri mazuri kuhusu haki, tunakuomba utende unachohubiri yasibaki kuwa maneno tuu lakini vitendo ni tofauti

Kuhusu kuachiliwa kwa haka ka simba ka Kizimkazi, Pongezi Rais Samia kwa Tanzania kuwa Kinara Uhuru wa Habari, EAC, Vipi Kale ka 'Simba ka Kizimkazi' Mnaonaje Kaachiwe?, Kanatuvurugia Sana Amani?

Mungu Ibariki Tanzania

Paskal
Unaota namhala
 
Hawa mapolisi huku KAWE wanalinda nn sasa? Mana wapo tangu saa 8 usiku wakiwa na silaha za moto?
Chama kinachokubalika kinazinduaje kampeni kwa mitutu ya bunduki?
Ona watu wanavyosombwa na magari kupelekwa kwenye mkutano.
Si kinakubalika kwann wasije wenyewe???
Amiri wao atakuwa hapo, SSH
 
Hivi CHADEMA wanataka mabadiliko ya kanuni au minimal reform kwenye katiba?
Siyo CHADEMA; Sema nchi au waTanzania...wewe kama hujaona shida kwenye mfumo wetu wa uchaguzi basi utakuwa na shida kubwa sana. Hivyo matatizo ya nchi tusiyavike CHADEMA.
Natanguliza samahani kama nimekukwaza Boss.
 
Wanabodi
Kufuatia mazungumzo ya rais wa TLS juzi kuomba kuonana na Rais Samia,kumuomba pamoja na mambo mengine,ni kuomba Lissu aachiwe,kanuni za uchaguzi zirekebishwe,Chadema ishiriki uchaguzi.

Kiukweli,sijawahi kuona rais msikivu kama Samia!,siku ya Jumanne mtu aombe kumuona rais,kesho yake Jumatano nafasi ikapatikana Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, Rais Samia ni msikivu, apewe maua yake. Vipi Serikali yake, Bunge na mahakama ni wasikivu? Kama sio inamanisha

Siku zote nimekuwa nikilalamika humu kuwa wasaidizi wa Rais Samia sheria hawamsaidii,wanamuogopa na kushindwa kumwambia ukweli,hii kesi ya uhaini ya Lissu ni hakuna kitu pale! Pre GE2025 - Wazalendo Wapenda Haki, Msiwe na Wasiwasi, Uhaini ni Matendo na Mipango Mkakati wa Kuutenda, Sio Maneno!, Maneno ni Sedition tuu na Sio Treason!

TLS ni wasaidizi wa Samia wa sheria,sisi TLS hatumuogopi Samia hivyo nilishauri tumweleze ukweli Rais Samia Mgeni Rasmi AGM ya TLS: Wanasheria Tumweleze Ukweli Kuhusu Ubatili wa Katiba Yetu na Sheria Zetu, Turudishe Haki Kuu ya Msingi

Jana hili limetokea kama zali, TLS imekutana na Samia,na tumemweleza hili la Lissu Rais wa TLS: Tumezungumza mengi na Rais Samia

Kama hoja hizi za TLS ni za kweli, na sio Lip Services, then Tundu Lissu anakwenda kuachiwa, kanuni za uchaguzi zinarejewa, Chadema inafuta NRNE ,Inashiriki Uchaguzi, TAL Mgombea Urais wa Chadema, Tunafanya Uchaguzi Mkuu Huru na wa Haki Kweli!

NB:Angalizo,isije kuwa TLS wamepigwa tuu sound,lip services!Je, kuna uwezekano baadhi ya Viongozi wetu wanatoa baadhi ya Ahadi kwa "Paying lip Services"?

Hili la watu kupigwa sound, niliwahi kumshauri Mama Mama don't preach. I think we've had enough of Preaching about law, justice & human rights. Would you Please just Practice what you Preach?

Pia tulimsisitiza Mama Ombi kwa Rais Samia, tunakushukuru kwa mahubiri mazuri kuhusu haki, tunakuomba utende unachohubiri yasibaki kuwa maneno tuu lakini vitendo ni tofauti

Kuhusu kuachiliwa kwa haka ka simba ka Kizimkazi, Pongezi Rais Samia kwa Tanzania kuwa Kinara Uhuru wa Habari, EAC, Vipi Kale ka 'Simba ka Kizimkazi' Mnaonaje Kaachiwe?, Kanatuvurugia Sana Amani?

Mungu Ibariki Tanzania

Paskal
Kwahiyo unaamini huyo Mwabukusi ni juzi ndio kataka kuonana na rais na akakulibaliwa kesho yake? Au ndio mambo ya lugha za kujikomba? Ni hivi, cdm na Lisu hawahitaji huruma ya yoyote, wanataka mabadiliko ili kufanyika uchaguzi wa kweli. Hayo mengine sijui msikivu sijui nini ni porojo kama porojo nyingine.
 
Wanabodi
Kufuatia mazungumzo ya rais wa TLS juzi kuomba kuonana na Rais Samia,kumuomba pamoja na mambo mengine,ni kuomba Lissu aachiwe,kanuni za uchaguzi zirekebishwe,Chadema ishiriki uchaguzi.

Kiukweli,sijawahi kuona rais msikivu kama Samia!,siku ya Jumanne mtu aombe kumuona rais,kesho yake Jumatano nafasi ikapatikana Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, Rais Samia ni msikivu, apewe maua yake. Vipi Serikali yake, Bunge na mahakama ni wasikivu? Kama sio inamanisha

Siku zote nimekuwa nikilalamika humu kuwa wasaidizi wa Rais Samia sheria hawamsaidii,wanamuogopa na kushindwa kumwambia ukweli,hii kesi ya uhaini ya Lissu ni hakuna kitu pale! Pre GE2025 - Wazalendo Wapenda Haki, Msiwe na Wasiwasi, Uhaini ni Matendo na Mipango Mkakati wa Kuutenda, Sio Maneno!, Maneno ni Sedition tuu na Sio Treason!

TLS ni wasaidizi wa Samia wa sheria,sisi TLS hatumuogopi Samia hivyo nilishauri tumweleze ukweli Rais Samia Mgeni Rasmi AGM ya TLS: Wanasheria Tumweleze Ukweli Kuhusu Ubatili wa Katiba Yetu na Sheria Zetu, Turudishe Haki Kuu ya Msingi

Jana hili limetokea kama zali, TLS imekutana na Samia,na tumemweleza hili la Lissu Rais wa TLS: Tumezungumza mengi na Rais Samia

Kama hoja hizi za TLS ni za kweli, na sio Lip Services, then Tundu Lissu anakwenda kuachiwa, kanuni za uchaguzi zinarejewa, Chadema inafuta NRNE ,Inashiriki Uchaguzi, TAL Mgombea Urais wa Chadema, Tunafanya Uchaguzi Mkuu Huru na wa Haki Kweli!

NB:Angalizo,isije kuwa TLS wamepigwa tuu sound,lip services!Je, kuna uwezekano baadhi ya Viongozi wetu wanatoa baadhi ya Ahadi kwa "Paying lip Services"?

Hili la watu kupigwa sound, niliwahi kumshauri Mama Mama don't preach. I think we've had enough of Preaching about law, justice & human rights. Would you Please just Practice what you Preach?

Pia tulimsisitiza Mama Ombi kwa Rais Samia, tunakushukuru kwa mahubiri mazuri kuhusu haki, tunakuomba utende unachohubiri yasibaki kuwa maneno tuu lakini vitendo ni tofauti

Kuhusu kuachiliwa kwa haka ka simba ka Kizimkazi, Pongezi Rais Samia kwa Tanzania kuwa Kinara Uhuru wa Habari, EAC, Vipi Kale ka 'Simba ka Kizimkazi' Mnaonaje Kaachiwe?, Kanatuvurugia Sana Amani?

Mungu Ibariki Tanzania

Paskal
P bora ukae kimya kula ulicho kiandika huna hiyo moral authority
 
Back
Top Bottom