Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,941
- 236,645
Mimi naomba nimjue huyu mnayemzungumzia jamaniπππππ Wewe ni nabii!
Nilishajiona navohamisha hela kwenye saving account yangu inavimba!
Kumbe ni tabia yao, nadhani kuna muda guilty fulani inawashika, ila kama alivyosema ankali Mshana, Tapeli ni tapeli tu.
Mkuu tupe mwongozo wa guide to invisibility and seeing ghosts
Mtoto kalazwa LugaloπππΏ .. Mmoja kati yetu akamstukia, akatutonya tukandaa mtego..πHizi stori bila kutaja hizo id
Mtatuacha njia panda.
Tajeni basi.
Ila nimekumbuka mshana
Akina Extrovert na wengine wengiwengi mlitapeliwa hapahapa jukwaani.
Mtu kaja na picha ya mtoto Mgonjwa, eti anadaiwa bill hospital
Tukampa pole wee
Akina Mshana chap mkamtumia michango.
Dah, kumbe amechukua picha za watu jamani,, Yeye siyo muhusika.
Wahusika wa Mgonjwa kwenda kuwaona hiyo hospital walishangaa.
Ila matepeli ni watu majasiri sanaπππππππππ
Ajabu kwanza hiyo ya pili si ntajichanganya kuchangia yaani mapema mno nakamatika...Hii moja tu inanipa uvivu nikiongeza nyingine si nitazimia kabisaππ,
Wenzetu mnawezaje???
Mimi nlitaka tu kutoa dukuduku langu sasa hizi ofa za milioni na mkwara juu ndugu mbona kama ni kunitisha?Itaje nikupe 1M ila ukishindwa sema mwenyewe nikufanye nini..
huruma sio malezi
Yaani huu utapeli ndio wa kwanza nashuhudia JfMtoto kalazwa LugaloπππΏ .. Mmoja kati yetu akamstukia, akatutonya tukandaa mtego..π
Kumbe MTO to hakuwa wake wala hamjui.. Jamaa alikuwa anavia kitanda cha mtoto na kupiga pichaπ€£
πππππHaha hapana huyu ni tapeli wala sio wa JF he used to be a friend, alikuwa nje akanitext kuwa amefata mzigo wa simu, na nilikuwa nataka simu nikamtumia hela 3.4M akapotea nayo mazima. Nikamdai kama wiki hivi akasema amepata shida migration sijui nini nini nikatemana nae.
Umepita kama mwaka akanitext kuwa anataka tuonane anilipe hela yangu tufungue ukurasa mpya blah blah. Nikamjibu hii namba uliyonitext nayo tuma hiyo hela hamna haja ya mimi na wewe kuonana.
Nikascreenshot msg nikamtumia The Monk, Huyu ni legend anaelewa mambo yalivyo akaniambia donβt be delusional, mtu mwenye nia ya kulipa asingetuma hiyo msg, nikakaa nikasubiri weeeee mwezi karibu wa 4 huu hajanitafuta tena.
Sasa nimesoma hiyo comment ya mshana kuwa tapeli alimtext kumshukuru na kutaka kulipa fadhila halafu akapotea nikakumbuka situation yangu . π
DahπππSasa waambie waheshimiwa majaji kwamba na mimi aliniingiza king, kidogo nivurugane na wife najua nna rescue mwamba kumbe naingia mkenge.(Ila wanawake mmepewa namna ya kutambua hatari na michongo feki) niliambiwa kabisa mbona huyu mtu kama mission town? Ntasikia sasa.
Dahπππ
Huyo mtu jasiri
Anawatapeli hadi nyie watu wenye exposure
Kweli kabisa Id Moja tu inatoshaAjabu kwanza hiyo ya pili si ntajichanganga kuchangia yaani mapema mno nakamatika...
Moja tu inatosha bahati mbaya zaidi tayari nimeshakutana na watu kupitia id hii hii moja.
Sina comments yoyote ya kunihatarisha nje ya mtandao naogopa nini mpaka niwe na Id nyingi!
Kuna nini tena jamani?
Nimelia sana baada ya kuona magrest thinker wangu wawili kutoka Singida wametapeliwa kizembeπWe acha tu.
DuhYaani ni rafiki yangu wa alimost 4 years. Alishanipa dada mmoja nikamsaidia kumuandikia project yake ya masuala ya wanawake (initiatives) Nikalipwa hela kadhaa.
My bad nilimwamini sana.
Ila MshanaππππππBurudani za JF kuna siku chamdeko aka log in na ID nyingineπππΏπ€£
Dahππππna kale karangi kakeHata hakusema awali, nikawa nikikutana na mtu naona anazidi kuwa mwekundu na ananyong'onyea kimya kimya kumbe ameshatengenezwa.
Imagine jamaa akarudi tena ki gentleman anataka arefund utapeli, bado akashindwa kuhifadhi ufedhuli wake, akazidi kuharibu.
Ila unaweza usiamini jamaa anawezakuja kupiga tena pesa kwa binti kiziwi na akafanikiwa, hasikii kwa vile ni kiziwi
Alipokosea ni pale alipokazania michango halafu muda mwingi hayupo hospital.. Nakumbuka Dada ulichanga piaππΏπYaani huu utapeli ndio wa kwanza nashuhudia Jf
Tangu Uzi unaanza hadi unakufaπππππ
Kila nikikumbuka nacheka,
Mungu amsamehe yule kaka jamani π