mjombakim
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 1,191
- 1,854
Kutukana pasipo sababu ni ishara ya ushamba ule ule wakutekana!
Kutukana pasipo sababu ni ishara ya ushamba ule ule wakutekana!
Wacha hiyo team ya CAG na TAKUKURU wakachunguze akibainika kakwapua sheria ichukue mkono wake
Jafu na majaliwa wanaweza kujikuta wapo msambweni
Unafikiri tuna kataa basi ila uzito wa dhambi yani maovu umezidi matendo ya Wema aliyofanya!!
Mungu ni shahidi!
Hakutegemea,imekua ghafla mnoBashiru anajitilisha huruma anajuta kwanini hakumzoeya mama tangu zamani.
Msukuma mwenzagu,mwanasheria mkuu wa serikali.Mbona mnamsema Bashiru tu huyo mwenzie ni nani na ana wadhifa gani serikalini?
Elewa tu kiongozi wetu hakuwa mkamilifu kwa kiwango anacho takiwa kuwa nacho kiongoziUmetua huu mzani ambao mawe yake ni majungu na fitina!!
Watu waliozoe kuishi kwa majungu na fitina maisha yao yote halafu kukatokeacmiaka 5 na miezi 5 bila hiyo kitu. Ndio sasa wameona wamalizie kiu yao. Eti Jaffo kasutwa na Mama mweee! Uswahili wakati mwengine hauna dawa hata ukitumia tui la nazi harufu ya shombo zake utaisikia tu.
Ukiacha katatizo hako unaingia mbinguniBinafsi Najiskiaga raha sana kumuongoza mwanaume..iwavyo vyovyote vile
Elewa tu kiongozi wetu hakuwa mkamilifu kwa kiwango anacho takiwa kuwa nacho kiongozi
Hahahahah!! Watu mna tafsiri balaaNamuona Dr. Bashiru Kama anaomba aachwe ofisini walau apate mishahara mitatu ili salary slip azitumie kuchukulia mkopo NMB
U wishUkiacha katatizo hako unaingia mbinguni
Una mazuri mengi usikubaki kitatizo kisicho na kichwa wala miguu kikuponze
Legacy ya huyo bwana ni chafu.Endeleni kucheza nayo halafu tutapata majibu yake kuwa tunaloiua au hatulijui?
Picha ya kawaida tu; rais anawapa maagaizo, na wao wanamsikiliza kwa makini. Ulitaka iweje? Ulitaka wabishane?Wanajamvi, picha huongea mengi.
Moja Kati ya picha nzuri kwa Leo ni hii.
Je ukiiangalia inakupa ujumbe gani?
Long live Madam President,,, yaani ni Kama ulijiandaa kuishika nafasi hii na wala hujasukumizwa Wallah.View attachment 1736932
Kauli hii ina tafsiri nyingi.Binafsi Najiskiaga raha sana kumuongoza mwanaume..iwavyo vyovyote vile
Pole mkuu,Tai na suti zilikudanganya nini...?Mkuu umenitoa machozi kwa kweli katika makosa ambayo nimeyafanya maishani mwangu na haya ya kuajiriwa na Serikali niliacha biashara zangu,nikaacha private kiss ajira za Serikali sasa hivi najuta.but nitarekebisha haya makosa.
Sema Bashiru siku zote mnyenyekevu hivyo hivyo,hata mbele ya prof. Mukandala alivyokuwa anamuachia Course afundishe akija naye theatre 1 or 2 jamaa yuko humble hivyo hivyo.Anaijua vizuri Chain of Command!Wanajamvi, picha huongea mengi.
Moja Kati ya picha nzuri kwa Leo ni hii.
Je ukiiangalia inakupa ujumbe gani?
Long live Madam President,,, yaani ni Kama ulijiandaa kuishika nafasi hii na wala hujasukumizwa Wallah.View attachment 1736932
Si ndio hapo, Bashiru anapigwa madongo kila sehemu - what does that tell US? Simple, mti wenye matunda ndio upigwa saaana.Mbona mnamsema Bashiru tu huyo mwenzie ni nani na ana wadhifa gani serikalini?
Uzuri hata mleta hoja ni Mwana ulimwengu, raha ni kuwa na wewe kwenye hii situation ungekuwa na pozi hili hili! Usiwabeze wenzioWanajamvi, picha huongea mengi.
Moja Kati ya picha nzuri kwa Leo ni hii.
Je ukiiangalia inakupa ujumbe gani?
Long live Madam President,,, yaani ni Kama ulijiandaa kuishika nafasi hii na wala hujasukumizwa Wallah.View attachment 1736932