Iangalie picha hii halafu toa ujumbe ulioupata

Iangalie picha hii halafu toa ujumbe ulioupata

Namuona Dr. Bashiru Kama anaomba aachwe ofisini walau apate mishahara mitatu ili salary slip azitumie kuchukulia mkopo NMB
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Watu wa jeiefu mmenishinda tabia..
 
The expressions on the faces of the two “people“ who are facing The President?!

The fording of their hands forward toward their genitalia for one?! And stomach area for the other?!

The bitterness aura portrayed?!

Hebu wataalamu wa body language mtusaidie tusiojua!
Waoow... are you Politician?
 
Nyie waha wapaka rangi na kusugua miguu ya wake zetu, hapo kwa mama prezdaa mnachukuaga sh ngapi kupaka rangi kucha
 
Mkuu umenitoa machozi kwa kweli katika makosa ambayo nimeyafanya maishani mwangu na haya ya kuajiriwa na Serikali niliacha biashara zangu,nikaacha private kiss ajira za Serikali sasa hivi najuta.but nitarekebisha haya makosa.
Mkuu weka mahesabu yako sawa then urudi kwenye biashara zako, usije ukajiambia 'its too late'. Never.
 
Back
Top Bottom