Iangalie picha hii halafu toa ujumbe ulioupata

Iangalie picha hii halafu toa ujumbe ulioupata

Wanajamvi, picha huongea mengi.
Moja Kati ya picha nzuri kwa Leo ni hii.

Je ukiiangalia inakupa ujumbe gani?

Long live Madam President,,, yaani ni Kama ulijiandaa kuishika nafasi hii na wala hujasukumizwa Wallah.View attachment 1736932
Jamaa kama vile wanamcheki kwa unyonge wa kinafki, nahisi wanamdharau. Awafyekelee mbali kama itastahili
 
Leo president kaagiza hazina kukaguliwa

DR Bashiru alikuwa hazina au Kayibu Mkuu wa CCM. Miruzi mingi itampoteza huyu Mh Rais. Wako watu wanamtaka afanyekazi kama ni Rais aliye chukua nchi kutoka kwa Rais ambaye hakushiriki naye akiwa Naibu wa Rais. Atajikuta amepoteza kuaminiwa na watu muhimu wa kumsaidia katika kuiongoza hii nchi. Owiii!
 
Hakuna mamlaka inayo chezeaga jeshi mkuu jeshi ndio kila kitu wale wana utii wa 100% wanaweza kutulaza giza ndani ya sekunde wapo kamili kila idara

Inaonesha mpango ni kuwastusha na kuwa shangaza. Usile na kipofu ukamshika mkono naona ndio staili wakati huu mpaka tumalizane na PM , Deus, Jaffo nk Wengine watu wa Pwani lakini ya Mkuranga na Kimbiji si Pwani yetu.
 
Acha kuchanganya unafiki na unyenyekevu.

Kwetu huu ni unyenyekefu na ni kweli kwenu ni unafiki na chuki wivu kwa mtu kwa sababu kaonesha ana uwezo kuliko ulio wa amini na kuwasujudia.
 
Inaonesha mpango ni kuwastusha na kuwa shangaza. Usile na kipofu ukamshika mkono nao ndio staili wakati huu mpaka tumalizane na PM , Deus, Jaffo nk Wengine watu wa Pwani lakini ya Mkuranga na Kimbiji si Pwani yetu.
Yani watu wamepiga kuliko kipindi kingine chochote 🤔
 
Sijajua picha inavyosema,mm nataka kabla ya mwez wa sita rasimali watu zipewe ufumbuzi,taasisi zisizo na maana kama TASAAC ziondolewe watu wanawekana hawajui kazi ,watu wa kujua kazi na kuweza kaz wako mitaani wanaambiwa wajiajiri..anaesema ivyo yuko anapata mshahara na posho za juu kupitia migongo ya maskin wasiokuwa na maisha
 
DR Bashiru alikuwa hazina au Kayibu Mkuu wa CCM. Miruzi mingi itampoteza huyu Mh Rais. Wako watu wanamtaka afanyekazi kama ni Rais aliye chukua nchi kutoka kwa Rais ambaye hakushiriki naye akiwa Naibu wa Rais. Atajikuta amepoteza kuaminiwa na watu muhimu wa kumsaidia katika kuiongoza hii nchi. Owiii!
Wacha hiyo team ya CAG na TAKUKURU wakachunguze akibainika kakwapua sheria ichukue mkono wake
 
Inaonesha mpango ni kuwastusha na kuwa shangaza. Usile na kipofu ukamshika mkono naona ndio staili wakati huu mpaka tumalizane na PM , Deus, Jaffo nk Wengine watu wa Pwani lakini ya Mkuranga na Kimbiji si Pwani yetu.
Jafu na majaliwa wanaweza kujikuta wapo msambweni
 
IMG_20210328_205839.jpg

MATAGA hawaamini wanachoona na kusikia....

IMG_20210328_224709.jpg
 
Yani watu wamepiga kuliko kipindi kingine chochote 🤔

Wekeni ushahidi tuone sio majungu rejareja. Lakini vilevile wamepiga kazi inayoonekana kuliko wakati mwingine wowote.

Ukinikumbusha mgao wa umeme kwa mfano na tamani kutapika ni kikumbuka. Ufungulie maji ya potea na kuishavkwenye Bwawa la kuzalisha umeme ili kutengeneza mazingira ya kuuza mafuta ya mitambo na majenereta. Noise pollution, sitaki kuikumbuka Tanzania ile.

Na inawezekana hawa ndio sasa wanatupangi Makamu wa Rais awe nani? Kiruu!
 
Wekeni ushahidi tuone sio majungu rejareja. Lakini vilevile wamepiga kazi inayoonekana kuliko wakati mwingine wowote.

Ukinikumbusha mgao wa umeme kwa mfano na tamani kutapika ni kikumbuka. Ufungulie maji ya potea na kuishavkwenye Bwawa la kuzalisha umeme ili kutengeneza mazingira ya kuuza mafuta ya mitambo na majenereta. Noise pollution, sitaki kuikumbuka Tanzania ile.
Unafikiri tuna kataa basi ila uzito wa dhambi yani maovu umezidi matendo ya Wema aliyofanya!!
Mungu ni shahidi!
 
Back
Top Bottom