Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,959
- 70,712
🤣🤣🤣Namuona Dr. Bashiru Kama anaomba aachwe ofisini walau apate mishahara mitatu ili salary slip azitumie kuchukulia mkopo NMB
🤣🤣🤣Namuona Dr. Bashiru Kama anaomba aachwe ofisini walau apate mishahara mitatu ili salary slip azitumie kuchukulia mkopo NMB
anatamani kurudisha hela walizochota. bahati mbaya it is too lateBashiru anajitilisha huruma
Mkuu umenitoa machozi kwa kweli katika makosa ambayo nimeyafanya maishani mwangu na haya ya kuajiriwa na Serikali niliacha biashara zangu,nikaacha private kiss ajira za Serikali sasa hivi najuta.but nitarekebisha haya makosa.Namuona Dr. Bashiru Kama anaomba aachwe ofisini walau apate mishahara mitatu ili salary slip azitumie kuchukulia mkopo NMB
Prof Kilagi!Huyo mwingine ni nani?
Huyo mhaya anatia huruma na atakuwa anajutaWanajamvi, picha huongea mengi.
Moja Kati ya picha nzuri kwa Leo ni hii.
Je ukiiangalia inakupa ujumbe gani?
Long live Madam President,,, yaani ni Kama ulijiandaa kuishika nafasi hii na wala hujasukumizwa Wallah.View attachment 1736932
Kwiiishaaaa habari zake aende akajiunge na cuf[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Siasa noma. Dk moja unarudi majalalani..
Hana kazi tena huyo huo unyenyekevu akaufanyie udsmNa nilisha sema kuhusu Dr Bashiru mnyenyekevu asiye yumbishwa na JPM alifanya naye kazi akilijua hilo, picha inanena mengi kuliko maneno.
Prof Kilagi!
Kuna watu wamenuna hukoWanajamvi, picha huongea mengi.
Moja Kati ya picha nzuri kwa Leo ni hii.
Je ukiiangalia inakupa ujumbe gani?
Long live Madam President,,, yaani ni Kama ulijiandaa kuishika nafasi hii na wala hujasukumizwa Wallah.View attachment 1736932
Haahaaaaa....hii picha ni kiboko!!!Wanajamvi, picha huongea mengi.
Moja Kati ya picha nzuri kwa Leo ni hii.
Je ukiiangalia inakupa ujumbe gani?
Long live Madam President,,, yaani ni Kama ulijiandaa kuishika nafasi hii na wala hujasukumizwa Wallah.View attachment 1736932
Hana kazi tena huyo huo unyenyekevu akaufanyie udsm
Naona Bashiru anajaribu kujifanya niwema sanaWanajamvi, picha huongea mengi.
Moja Kati ya picha nzuri kwa Leo ni hii.
Je ukiiangalia inakupa ujumbe gani?
Long live Madam President,,, yaani ni Kama ulijiandaa kuishika nafasi hii na wala hujasukumizwa Wallah.View attachment 1736932
Yani apo wana wazaa sana ile kauli ya jeshi Mheshimiwa tuta kulinda na tuna kuunga mkono! Na mipaka ipo salama!Kuna watu wamenuna hukoView attachment 1737019