Iangalie picha hii halafu toa ujumbe ulioupata

Iangalie picha hii halafu toa ujumbe ulioupata

Kutaja kabila la mtu wakati unajuwa jina lake la ubatizo ni dalili za kuwa driven na latent inferiority complex - ni hilo tu wala si kitu kingine.

Tabia hii imejengeka sana kwa baadhi ya makabila hapa Nchini, hata kama wanajua jina lako utawasikia wakiongezea: unamsema yule Mchaga, yule Mhaya, yule Mnyakyusa - wanaona kutaja majina tu haitoshi lazima waongezee Kabila to drive point home.
Tuliza mshono wewe dogo,kunalini matokeo maana hamna jinsi ya kuzuia mafuriko kwa viganja.

Mmetesa kwa miaka 6 na watu tulikaa kimya maana kukataa ukweli ni kujiumiza mwenyewe.

Safari hii tulieni huko mashambani kwenu ili nanyi mjue kuwa kilimo nacho ni kazi.
 
Si ndio hapo, Bashiru anapigwa madongo kila sehemu - what does that tell US? Simple, mti wenye matunda ndio upigwa saaana.
Hana sifa yoyote ya kuitwa mti wenye matunda.
JamiiForums-1890079609_540x658.jpg
 
Here we go again: Nasikia, nasikia! Wakati huna ushahidi hata chembe - kama lengo lako ni kutaka kumpaka matope umekwisha chelewa, NEC ndio wanamjua vizuri Kakulwa - wewe mtu baki don't count at all.
Ajiandae akalime mutwishi na fia kwao huko asitusumbue sisi.
 
Legacy keshaweka CCM alama ambayo haitafutika. Vijana watamtafuta hata kama wenzangu na mie akina asante Kikwete mkimpiga vita kwa kumuandama sababu ya uwezo wake.
Uwezo gani? Uwezo wa kusema "CCM kuna mafisadi" ila akaogopa kuyataja!!!??
Uwezo wa kukwapua mabilioni!!!???
Jizi ni jizi tuuu!
 
NEC tayari washaamua kwanza akamatwe ila sema tu huruma ya mama yetu,vinginevyo angekuwa lupango
Usanii na roho mbaya zenu za kwa nini! Yes, Mr/Ms know all twambie NEC ili-convene kikao lini na wapi? Labda tuanzie hapo. Liars per excellence.
 
Usanii na roho mbaya zenu za kwa nini! Yes, Mr/Ms know all twambie NEC ili-convene kikao lini na wapi? Labda tuanzie hapo. Liars per excellence.
Amini ninachokwambia na kitakacho mponza ni watu kama wewe .

Mjiandae maana hamtaamini macho yenu maana sasa hivi anajiandaa kufunga virago.
JamiiForums-1890079609_540x658.jpg
 
Tuliza mshono wewe dogo,kunalini matokeo maana hamna jinsi ya kuzuia mafuriko kwa viganja.

Mmetesa kwa miaka 6 na watu tulikaa kimya maana kukataa ukweli ni kujiumiza mwenyewe.

Safari hii tulieni huko mashambani kwenu ili nanyi mjue kuwa kilimo nacho ni kazi.
What a toddler's comments! Ebu jaribu kutafakari nilicho andika mimi,je, does it run in sync na ulicho jibu wewe. Strange,don't you think!!
 
Uwezo gani? Uwezo wa kusema "CCM kuna mafisadi" ila akaogopa kuyataja!!!??
Uwezo wa kukwapua mabilioni!!!???
Jizi ni jizi tuuu!

Aliogopa! Nani alipelekea mali za CCM kurudishwa kutoka mikononi mwa mijizi na mafisadi nguli?
 
Back
Top Bottom