Huyu mnatajataaja Jina lake, jamaa mnamuonea sanaaaaaaaaaaaaaaaaa, amewafanyaje kwaniiii!???Namuona Dr. Bashiru Kama anaomba aachwe ofisini walau apate mishahara mitatu ili salary slip azitumie kuchukulia mkopo NMB
Huyu mnatajataaja Jina lake, jamaa mnamuonea sanaaaaaaaaaaaaaaaaa, amewafanyaje kwaniiii!???Namuona Dr. Bashiru Kama anaomba aachwe ofisini walau apate mishahara mitatu ili salary slip azitumie kuchukulia mkopo NMB
Kutaja kabila la mtu wakati unajuwa jina lake la ubatizo ni dalili za kuwa driven na latent inferiority complex - ni hilo tu wala si kitu kingine.Huyo mhaya anatia huruma na atakuwa anajut
Here we go again: Nasikia, nasikia! Wakati huna ushahidi hata chembe - kama lengo lako ni kutaka kumpaka matope umekwisha chelewa, NEC ndio wanamjua vizuri Kakulwa - wewe mtu baki don't count at all.Hana uwezo wowote ule na nasikia alipiga 180 b
Uzushi wenu mpaka lini? Mbona waziri mkuu naye alikuwa ziarani, mbona hilo hamlisemi - je, mama Samia alipo wasili Tanga alisema katumwa na nani kwenda Tanga, ni wazi ziara hiyo ilipangwa wakati JPM yungali ahi - sio vizuri kupitosha watu for political reasons au kwa lengo la kuwaribia sifa baadhi ya watu.Anajfanya mtakatifu,wakat walitaka kumpoteza mama kwa kumpangia ziara za ajabu
Mkuu, don't ask the obvious - wako well organised kumpaka matope 4 political reasons hawataki awe considered for higher post, Dk. Bashiru scares a living daylights out of this gang.Huyu mnatajataaja Jina lake, jamaa mnamuonea sanaaaaaaaaaaaaaaaaa, amewafanyaje kwaniiii!???
Nilizoea kumuona spika amevaa joho lake akiwa viti vya mbele karibu na mkuu akiangalia wajumbe, sasa naye Kawa mjumbe?Kuna watu wamenuna hukoView attachment 1737019
Polepole anachora plan B
Sasa kama wanaenda Msikitini na Makanisani kuabudu Mungu wasiyemuamini, na kujifanya waislam wanafiki au wakristo wanafiki, waachane na hizo Dini za waarabu na Wazungu maana haziwasaidii kituu, mburula, wabaki kwenye Dini za asili za kiafrikaMkuu, don't ask the obvious - wako well organised kumpaka matope 4 political reasons hawataki awe considered for higher post, Dk. Bashiru scares a living daylights out of this gang.
Huenda...jukwaa huru hiliKauli hii ina tafsiri nyingi.
Badala ya kuona raha kuwa kiongozi wa watu (bila kujali jinsia) ambapo maana yake, unakuwa chini yao na unawatumikia, wewe unahisi uongozi ni fursa ya kuwa juu ya mwanaume. Kwa maneno mengine ni kama kichaa mlevi kupewa rungu
Hayo ni mawazo ya muhanga wa mfumo dume asiyejua uongozi, you are victim and not victorious...
Kweliiiiii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuimba kupokezana ,nasema uongo ndugu zangu?
Ahahahahah mzaliwa wa Katerero huyo pale kama unaelekea Kanazi mashariki mwa Butela ngoma ahahahahahMoja ameshuka tumbo,mwingine kashika viungo vya uzazi.... Hahaha Dr Bashiru sijui anamchukulia vipi madam President....,jamaa ametoka huko mto ngono
AGHuyo mwingine ni nani?
Mwanasheria mkuu wa Serikali mwanangu!Mbona mnamsema Bashiru tu huyo mwenzie ni nani na ana wadhifa gani serikalini?
Ni ujinga na upumbavu, huwa inaudhi sana, eti we Mkanjaburo njooKutaja kabila la mtu wakati unajuwa jina lake la ubatizo ni dalili za kuwa driven na latent inferiority complex - ni hilo tu wala si kitu kingine.
Tabia hii imejengeka sana kwa baadhi ya makabila hapa Nchini, hata kama wanajua jina lako utawasikia wakiongezea: unamsema yule Mchaga, yule Mhaya, yule Mnyakyusa - wanaona kutaja majina tu haitoshi lazima waongezee Kabila to drive point home.
Hao jamaa badala ya kuangalia mikono ya Rais ili kuelewa vizuri zaidi akisemacho, mwanamuangalia usoni! Hakuna picha nyingine tuone kama Rais ana-maintain eye contact?Wanajamvi, picha huongea mengi.
Moja Kati ya picha nzuri kwa Leo ni hii.
Je ukiiangalia inakupa ujumbe gani?
Long live Madam President,,, yaani ni Kama ulijiandaa kuishika nafasi hii na wala hujasukumizwa Wallah.View attachment 1736932
NEC tayari washaamua kwanza akamatwe ila sema tu huruma ya mama yetu,vinginevyo angekuwa lupangoHere we go again: Nasikia, nasikia! Wakati huna ushahidi hata chembe - kama lengo lako ni kutaka kumpaka matope umekwisha chelewa, NEC ndio wanamjua vizuri Kakulwa - wewe mtu baki don't count at all.
Kakulwa hatufai na hana sifa ya kuendelea kubakia pale alipo sasa.Uzushi wenu mpaka lini? Mbona waziri mkuu naye alikuwa ziarani, mbona hilo hamlisemi - je, mama Samia alipo wasili Tanga alisema katumwa na nani kwenda Tanga, ni wazi ziara hiyo ilipangwa wakati JPM yungali ahi - sio vizuri kupitosha watu for political reasons au kwa lengo la kuwaribia sifa baadhi ya watu.
Hata ukikesha unamsafisha hautoweza maana tumeshamgundua kuwa hana sifa yoyote pale.Mkuu, don't ask the obvious - wako well organised kumpaka matope 4 political reasons hawataki awe considered for higher post, Dk. Bashiru scares a living daylights out of this gang.
Huoni alivyo kwenye wakati mgumu kimawazo?Nilizoea kumuona spika amevaa joho lake akiwa viti vya mbele karibu na mkuu akiangalia wajumbe, sasa naye Kawa mjumbe?
Hana pa kutokea asubiri akanyee debePolepole anachora plan B