Iangalie picha hii halafu toa ujumbe ulioupata

Amini ninachokwambia na kitakacho mponza ni watu kama wewe .

Mjiandae maana hamtaamini macho yenu maana sasa hivi anajiandaa kufunga virago.
View attachment 1737457
Chuki binafsi ndio zinawasumbuwa wengi wenu, usanii tu 24x7, labda nikuhoji swali dogo, habari unazo bwata hapa umezipata wapi! Are you a Govt inner circle member au?

Hivi msipo wasema vibaya na kuwaribia sifa akina Poleopole na Bashiru mtapoteza nini? Baadhi ya vijana wana Demonic traits za kuwatakia wenzao mabaya, sijui kwa nini?
 
Alafu nikisha kwambia ndiyo utafaidika kitu gani?
Tuliza mzuka maana hiki kipindi mnatakiwa kuwa na uvumilivu uliotukuka.
 
Usanii wenu ulio kubuhu mpaka mnajiingiza kunukuu biblical terms kutoka kwenye a new testament, eti: "Amini nakwambia" kwani wewe ni YESU?
Habari za yesu kamuulize Kessy wa Nkansi na wenzake
 
Chuki binafsi ndio zinawasumbuwa wengi wenu, usanii tu 24x7, labda nikuhoji swali dogo, habari unazo bwata hapa umezipata wapi! Are you a Govt inner circle member au?

Hivi msipo wasema vibaya na kuwaribia sifa akina Poleopole na Bashiru mtapoteza nini? Baadhi ya vijana wana Demonic traits za kuwatakia wenzao mabaya, sijui kwa nini?

It’s the serpent’s offspring!
 
Muda wenu umeisha tulieni hivyo hivyo dawa iwaingie wapuuz nyie, mlijimilikisha nchi mkihisi mtatamba milele

Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
 
Waafrika tuna roho mbaya sana..yani sijui tuliumbwaje..unashangaa mtu hata hana uhakika na tabia ya mtu ila anatamani sana kuona ana maisha mabaya..magumu...amefukuzwa kazi..its really a shame to be an African.
 
Majibu jibu yako yanadhilisha kwamba analytical mind yako ni dismal kabisa!!

Mkuu unajichosha bure na hawa Wahuni wa pale Ufipa. Angalia huyu ndiyo Think Tank ya CDM,nimeona tangu umeanza kumjibu na anavyojibu yeye ikabidi nicheke tu. Huyu ni wa kumweka kwenye Ignore list.
Tujipe muda kama mwezi mzima tu pale Rais atakapomaliza kupanga safu yake ya utendaji,watashangaa sana hawa hawa wanaowapaka matope watakuwemo na ndipo kejeli kwa Rais zitaanza upya. Hawa si wa kuhangika nao,kumbuka enzi za JK akaitwa Dhaifu,kaja JPM nae hivyo hivyo Dictator,ni swala la muda tu na SS ataanza kudhihakiwa na hawa hawa.
 
NEC ndio wanamjua vizuri Kakulwa - wewe mtu baki don't count at all

NEC walimjua akiwa Katibu Mkuu wa ccm na sio Katibu Mkuu kiongozi wa Serikali, hivyo ni vyeo tofauti!!! Huu uchafu kautoa serikalini sio kwenye chama!!!
 
Asante sana
 
Mkuu unajichosha bure na hawa Wahuni wa pale Ufipa. Angalia huyu ndiyo Think Tank ya CDM,nimeona tangu umeanza kumjibu na anavyojibu yeye ikabidi nicheke tu. Huyu ni wa kumweka kwenye Ignore list.
Tujipe muda kama mwezi mzima tu pale Rais atakapomaliza kupanga safu yake ya utendaji,watashangaa sana hawa hawa wanaowapaka matope watakuwemo na ndipo kejeli kwa Rais zitaanza upya. Hawa si wa kuhangika nao,kumbuka enzi za JK akaitwa Dhaifu,kaja JPM nae hivyo hivyo Dictator,ni swala la muda tu na SS ataanza kudhihakiwa na hawa hawa.
Pumbaf zako
 
Waafrika tuna roho mbaya sana..yani sijui tuliumbwaje..unashangaa mtu hata hana uhakika na tabia ya mtu ila anatamani sana kuona ana maisha mabaya..magumu...amefukuzwa kazi..its really a shame to be an African.
Kama utendaji wako ni wa hovyo lazima watu watapiga kelele ili upigwe chini.
 
Majibu jibu yako yanadhilisha kwamba analytical mind yako ni dismal kabisa!!
LEO HII NDIYO UTAJUA KUWA HUJUI NA UWACHE KUBISHANA KISHAMBA KWA JAMBO USILO LIJUA.

MJOMBA WAKO TAYARI TUMEMTOA MLIPO KUWA MNALILIA ABAKIE .

TUMEMOELEKA AKABISHANE NA KINA JAH PEOPLE,KIBAJAJI NA MSUKUMA KASHEKU.

UKOME KUBISHANA SANA.
NAONA DAWA SASA IMEKUINGIA.
 
Back
Top Bottom