Kongosho
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 35,987
- 24,234
- Thread starter
- #61
Angalau umenipa sababu ya mabadiliko, kweli ni pamoja na majukumu
More aggressive and ambitious, hakuna kutazama nyani usoni
More aggressive and ambitious, hakuna kutazama nyani usoni
Mabadiliko ya maisha yanaendana na mabadiliko ya binadamu that time ulikuwa mwanafunzi ukilelewa na wazazi na waalimu ila life after school na ukishapata nyumba yako unatakiwa kutoa wewe malezi na kiasi kidogo sana kupokea kwa wenzio, ni wazi lazima ubadilike na tena ukiona binadamu ambaye yupo stagnant ujue kuna tatizo hata la mfumo wake kimaisha,