Kongosho
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 35,987
- 24,234
jouneGwalu, mbona hujaniambia kuwa Mamndenyi ndiye ambaye kwamba wako?
Ndio maana ananionea huruma sana kwa vituko ninavyofanyiwa na mwaJ
Hujaona VM yangu pale?
Pamoja na mizombi yangu, nam-miss na ninajua unaumia moyoni
Kongosho usijidai kuwa ni mtoto wa bongo fleva sana Hebu bofya maneno hapa
http://www.music.thehabari.com/ghkditrlsniyhenvmsgity/mlimani%20park%20orchestra%20-%20Usitumie%20Pesa%20Kama%20Fimbo.mp3
jouneGwalu, mbona hujaniambia kuwa Mamndenyi ndiye ambaye kwamba wako?
Ndio maana ananionea huruma sana kwa vituko ninavyofanyiwa na mwaJ
Hahahaha hivi naye mwaJ yamemkuta kwa huyo ndugu Bujibuji??
Mi si nimekubali Mama mbona unanibana sana jamani?? Ngoja nikunong'oneze kitu!!
(Nenda kwenye profile yake utakuta kuna VM nimemwachia labda itatosha kukushawishi kuwa mwanao nakesha nikiomba)
Ila huyu Mtu anayehangaika na Mazombi ndio ananiharibia maombi yangu!
Kwangu gari ilishajaa. Huyo Bujibuji ninamsaidia tu kutafuta mtu wa kumpeleka Malawi akatibiwe matatizo ya moyo wa kupenda.
mwaJ ninazijua siri zako zooooote, kumbe Mwita Maranya kakuendea kwa waganga