I miss my old self . . .

I miss my old self . . .

Last edited by a moderator:
Huyo msiri wako siku utamkuta anapekua sirini ndio utajua kwa nini hukumfanya msiri wako kuwa anayefika sirini bila siri

Bujibuji subiri Mwita Maranya aje mwenyewe kama atapenda akueleze amenifanyia nini. By the way, wewe huwezi kuzijua siri zangu maana wewe sio msiri wangu. Msiri wangu ni Kaizer hata Mwita analijua hilo.
 
Bujibuji said:
mwaJ ninazijua siri zako zooooote, kumbe Mwita Maranya kakuendea kwa waganga

Hahahaha kumbe Bujibuji bado wewe kupata ticket ya kwenda malawi!? pls mdau Nazjaz njoo huku uokoe jahazi linazidi kuzama limefika mkondo wa nungwi.
 
Last edited by a moderator:
Bujibuji subiri Mwita Maranya aje mwenyewe kama atapenda akueleze amenifanyia nini. By the way, wewe huwezi kuzijua siri zangu maana wewe sio msiri wangu. Msiri wangu ni Kaizer hata Mwita analijua hilo.

Hayo ni mambo ya chumbani hayawezi kudiskasiwa hadharani. Muhimu ni kwa Bujibuji kuelewa kwamba mimi nampa mke wangu mwaJ kile anachohitaji na kwa wakati anapokihitaji.

Sasa wewe mtu mzima kila siku unalia lia tu hadi tumekuzoea, tafuta nitoke vipi nyingine:smile-big::smile-big::smile-big:
 
Hapo ndio ninapokukubali baba ZD! Busara kwa sana tu.
 
hayo ni mambo ya chumbani hayawezi kudiskasiwa hadharani. Muhimu ni kwa bujibuji kuelewa kwamba mimi nampa mke wangu mwaj kile anachohitaji na kwa wakati anapokihitaji.

Sasa wewe mtu mzima kila siku unalia lia tu hadi tumekuzoea, tafuta nitoke vipi nyingine:smile-big::smile-big::smile-big:
hii ndoa imepitishwa lini?? Mbona sijajuzwa na Baba V??
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom