Kongosho, unachosema ni sawa kabisa......yaani mi mwenyewe, wakati flani ninajisikia raha sana hasa nikikutana na marafikiwa old school enzi hizo tunasome hata hatumjui ndalichako na Tv appearance zake, miaka 20 imepita sasa.....
when u flash back,,.,,kuna "mazuri" mengi sana ya kutafakari..ikiwemo ugumu wa kugegeda kutokana na mawasiliano hafifu...daamn
Asnam, unampa pole Kongosho kwa sababu gani?
si umesikia alikuwa anabadilika jinsia kwa siku mara saba, sasa usiamini sana hiyo miaka aliyoweka hapo, chukua tu ujumbe, sawa mdogo wangu?