Kongosho
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 35,987
- 24,234
Leo kwa muda; nilijikuta nimmiss Konnie wa miaka kadhaa. Ilikuwa hivi . . .
Katika pilika pilika za leo, nikakutana na mtu tulipotezana more than 17 tulipomaliza High School.
Na tulikuwa tunakaa meza moja miaka hiyo, na tulikuwa marafiki, tatizo enzi hizo S.L.P ilihusu sana, tukapotezana.
Baada ya kupiga story 2 tatu nikagundua 'how much i have changed' toka tulipoachana. Miaka hiyo nilikuwa 'pure innocent girl from a village'. Nikaona anajaribu kuwaunganisha mie wa miaka hiyo na wa sasa ambaye ni 'crazy' kwa namna fulani. Ambaye ukimuonesha zambarau lazima ahoji, why?
Nikimtazama yeye angalau ame-maintain 'innocence' yake, for a minute i missed my old self.
Kukawa na vitu nataka 'ku-explain' sababu nilihisi anastahili maelezo, akanijibu tu 'i understand, it's part of life'.
Dah, nimegundua kumbe mtu unaweza kubadilika kidogo kidogo bila kujua, leo ndio nimejitafakari nimebadilika kiasi gani.
Anyway, it's life.