mwaJ
JF-Expert Member
- Sep 27, 2007
- 4,074
- 2,950
hahahahaa umemsoma vizuri mwaJ apo juu Mwita Maranya?
Mie wala siongezi neno.
hahahahaa umemsoma vizuri mwaJ apo juu Mwita Maranya?
hahahahaa umemsoma vizuri mwaJ apo juu Mwita Maranya?
Huo utaratibu wa kuwa na mume na msiri umewekwa kikatiba hivyo haubadilishiki.
Kwi kwi kwi kwiiiiiiiiiiiii "Organisation Structure" ya familia yetu si ilishapitishwa na kamati maalumu jamani? Sasa unaalika watu waje kuivunja kwa nini?
Kadri ninavyokumbuka "organisation structure" ya familia yetu inanipa mamlaka ya kureview katiba kila mara na kuifanyia marekebisho kadri inavyofaa.
Mkuu Kaizer najua unafanya reference kwenye huu mstari hapa chini.
Lakini kitu kimoja ninachofahamu ni kwamba si kila sheria ni nzuri, na hata kama ni nzuri leo si lazima iwe nzuri na kesho. Na kwahiyo basi ninakusudia ku-move motion ya kuifanyia marekebisho makubwa hiyo katiba ili iendane na mazingira halisi ya sasa ya kutoruhusu mke wangu mwaJ kuwa na msiri.
Naona unahamu ya kusababisha mgomo na maandamano ndani ya familia. Kaizer is there to stay.
Kadri ninavyokumbuka "organisation structure" ya familia yetu inanipa mamlaka ya kureview katiba kila mara na kuifanyia marekebisho kadri inavyofaa.