wewe ni KE au ME?
KE....
ok! sikujua bibie........ nimefurahi kufahamu hivyo.
My Mama taught me to keep my vagina intact until I get married.
Teh teh akiielewa hii atajinyongaMy Mama taught me to keep my vagina intact until I get married.
Look what yo' Mama taught ya'.
SMDH!
naona unahasira za mume wetu
:smile-big::smile-big:jana ndo mlikutana na jana hiyo ukampeleka kwako na leo mshapanga kuoana!!!! kila la kheri bidada
Nani???? wewe unafikiri mwanamke asiye na staha mwanaume gani anamtaka? kila kinachofanyika faragha kinatangazwaSijui kwanini ni wagumu hivi, hata nanii nae kila siku anatoa thread ila hawaelewi tu
Maendeleo.. ..
Ndio yule jamaa mwenye kibamia au huyu ni mwingine tena???
Hongera kwa kumfanya apige miruzi..
Siku nyingine mfanye akupigie saluti kabisa..!!
Nampenda sana Huyu mtu ambaye ni muwazi maana hata Siku akigongwa atasema tu
Nlifikiri l.a.r.a kaondoka kumbe kamwacha mdogo wake humu..ila wanawake wengine mnaakili ndogo mpaka inasikitisha kwa sisi ambao wanawake tunawaheshimu sana..sijui ni ushamba , malezi, kukosa shule, umaskini au mfumo dume
hyo mada imenichanganya,mwenyewe kaona sifa,wanaopenda huo upuuz wake washakimbilia pm wapige mruuz..nasubir shuhuda