I made him blow a whistle yupeee! (the last crash!)

I made him blow a whistle yupeee! (the last crash!)

Kwa hiyo unajisifu kuwa wewe ni noma eti? Kwamba ukimweka mtu hapo lazima kesho atangaze ndoa...sasa mbona hujataja bei?
 
mmh haya momie yaan kwel bibie waja kujisifu mbele ya kadamnasi umetoka kutooo ooo oo mbwaa..? kwa kwel sitaman mke wangu awe member wa hil jukwaa asije akaambukizwa maujingaa aseeh...
Usipagawe na jamaa eti kwa sababu katangaza ndoa....binafsi nshawah kuwatangazia ndoa malaya wengi tu baada ya kuwavuruga nikalala mbele arawa hata siwakumbuki...
Mwanaume wa kuona haonekan kwa kulala naye usiku mmoja ni process atiii....
 
Loohhh siamini.... kibamia wangu kafa tumezika leo jioni siamini kama crash zitaendelea tena, mie nlijua nshaachana nazo daah!! Na hivi niko eda... majonzi sana. kwaherini wote....
 
Mmmmh huku madongo poromoka hawafanyi hayo , jamani huko mjini mna mengi yaani hata yale mambo ya kizamani japo kuchunguzana kidogo mmeacha kabisa. Afadhari tubaki vijijini acha mjini kubaki kuwa shule.
 
Ndio yule jamaa mwenye kibamia au huyu ni mwingine tena???

Hongera kwa kumfanya apige miruzi..

Siku nyingine mfanye akupigie saluti kabisa..!!

Ndio yuleyule kibamia, salute alishapiga sasa ni miruzi tuu
 
Habari zenyu mabibi na mabwana,
Kama week end yako haijaenda poa basi nenda kajipoze na glass moja bariidii, yaweza kuwa ya maji, maziwa, juisi, soda, bia, wine etc mradi tuu iwe moja tuu.
Sasa basi wakati unajipoza na glass yako moja bariidii mamvo yalianza ijumaa ya jana. Jamaa kaingia kwenye 18 zangu mtoto wa kinyamwezi mie nilikuwa na wibe glass moja tuu kichwani basi macho yakarembuka reee miguu ndo ikawa ndembendembe midomo nikawa naongea kwa uvivuu ila tabasamu halitoki usoni. Kasinde mue nikampa what my mama gave me!! Hahahaa no mistake at all it was all the black woman and man do in the kwachukwachu......
Asubuhi sikuwa na hangover nikaamka mtoto wa kinyamwezi baada ya kupata morning glory nikaandaa heavy breakfast, nikaenda muogesha jamaa akawa ananitazama tuu mie kama simuoni. Baada ya breakfast tukatoka kwenda kufanya shopping ya vitu nyumbani ili nimkarangizie. On the way jamaa akawa anapiga miruzi tuu akiongea kidogo ni miruzi tuu. Nikakumbuka mama alishawahi niambia mwanangu ukifanikiwa kumkosha mwanaume kunako asubuhi akiwa anatoka atakupigia miruzi tuu lazima. Daah!! Nikawa natabasamu tuu njia nzima. Baada ya lunch jamaa kaniganda hataki kuondoka hapa ananipa mipango ya kunipeleka kwao anichukue jumla jumla. Sasa nawaza nikiolewa inamaana crash ndo basi tena...!!!! no more mingles au nimtoroke mi ntaweza kweli.????
Bado najiuliza kama hii ndo crash yangu ya mwisho au naota though nainjoy life ninayoishi sijui hiyo ya ndoa ntainjoy hivi au la.
Eti nyie wanaume wa humu, mlishawahi kufurahia penzi hadi mkiamka asubuhi ni miruzi tuu??

Mabinti wa kinyamwezi mnajiweza kitandani ila wanatumia sana majani ya shamba, tatizo hapo naona kama nguvu zako za shamba zikiisha itakula kwako!!!
 
Back
Top Bottom