I made him blow a whistle yupeee! (the last crash!)

I made him blow a whistle yupeee! (the last crash!)

We utakuwa kimalaya tu,kila siku wewe tu mara umechumishwa mboga na kibamia,leo mwngne tena.
 
Bora unyimwe utajiri upewe BUSARA na HEKIMA. ...

Hata kama huna mwanaume jiheshimu ili uheshimiwe,jf waseja kibao lakini kila mtu anaheshimu nafasi yake....
wewe kwa styl hiyo ya kujimanua manua,kuneng'eneka sijui.........

Badilika . ....
 
Mbaya zaidi anaona sifa lolz......mwanamke hasifiwi kwa umalaya ata siku moja
 
...loh zamani kulikuwa hakuna mwanamke anayeweka hadharani alichofanya na mwanaume. Na ilikuwa ni aibu hata kujua tu dada au kaka ametoka faragha na mwenziwake. Leo watu wanasimulia hata staili zao hadharani, Dunia ilipofika sasa ni zaidi ya sodoma ?!...
 
Habari zenyu mabibi na mabwana,
Kama week end yako haijaenda poa basi nenda kajipoze na glass moja bariidii, yaweza kuwa ya maji, maziwa, juisi, soda, bia, wine etc mradi tuu iwe moja tuu.
Sasa basi wakati unajipoza na glass yako moja bariidii mamvo yalianza ijumaa ya jana. Jamaa kaingia kwenye 18 zangu mtoto wa kinyamwezi mie nilikuwa na wibe glass moja tuu kichwani basi macho yakarembuka reee miguu ndo ikawa ndembendembe midomo nikawa naongea kwa uvivuu ila tabasamu halitoki usoni. Kasinde mue nikampa what my mama gave me!! Hahahaa no mistake at all it was all the black woman and man do in the kwachukwachu......
Asubuhi sikuwa na hangover nikaamka mtoto wa kinyamwezi baada ya kupata morning glory nikaandaa heavy breakfast, nikaenda muogesha jamaa akawa ananitazama tuu mie kama simuoni. Baada ya breakfast tukatoka kwenda kufanya shopping ya vitu nyumbani ili nimkarangizie. On the way jamaa akawa anapiga miruzi tuu akiongea kidogo ni miruzi tuu. Nikakumbuka mama alishawahi niambia mwanangu ukifanikiwa kumkosha mwanaume kunako asubuhi akiwa anatoka atakupigia miruzi tuu lazima. Daah!! Nikawa natabasamu tuu njia nzima. Baada ya lunch jamaa kaniganda hataki kuondoka hapa ananipa mipango ya kunipeleka kwao anichukue jumla jumla. Sasa nawaza nikiolewa inamaana crash ndo basi tena...!!!! no more mingles au nimtoroke mi ntaweza kweli.????
Bado najiuliza kama hii ndo crash yangu ya mwisho au naota though nainjoy life ninayoishi sijui hiyo ya ndoa ntainjoy hivi au la.
Eti nyie wanaume wa humu, mlishawahi kufurahia penzi hadi mkiamka asubuhi ni miruzi tuu??

Hongera Dada.mapenzi unayaweza kweli kweli na ndio maana jamaa ameguswa. Nakutakia heri na fanaka katika mahusiano yenu. May be next time utatupa wedding invitation.
 
Amekupata bure, akuache bure na sie tuje kupata morning glory kwako. Mwambie akuache. Weekend ijayo zamu yangu.

Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk
 
Ndio yule jamaa mwenye kibamia au huyu ni mwingine tena???

Hongera kwa kumfanya apige miruzi..

Siku nyingine mfanye akupigie saluti kabisa..!!

upo mdada?? Nmekumiss

Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk
 
Hayo mambo ya ndoa miezi 12 baadae akikwambia anataka kukuoa amini crash imefanya kazi la sivyo ni swaga za kutaka papuchi tu
 
Wanaume wa humu ndani mwajua mwatuaibisha atii!!!
Alishaanza siku nyingi hamkumuelewa, sasa anaweka wazi anajua kumridhisha mwanaume mpk siku hiyohiyo kutangaza ndoa bado hamuelewi tu? Serious??????
 
Ndio siri zetu uje kusimulia hapa! nilikutania tu muone!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Sikuoi ng'o wewe endelea na crash zako hiloooooooooooooooooo!!!!!!!!
 
Kasinde hakika Kuna tatizo, mdada gani unayeanika u.pupu unaofanya faragha? Kweli?? Juzi ukipata dozi ya kibamia, Leo umepata dozi kwa mwingine?? Huna aibu?
 
Last edited by a moderator:
Wanaume wa humu ndani mwajua mwatuaibisha atii!!!
Alishaanza siku nyingi hamkumuelewa, sasa anaweka wazi anajua kumridhisha mwanaume mpk siku hiyohiyo kutangaza ndoa bado hamuelewi tu? Serious??????
Sijui kwanini ni wagumu hivi, hata nanii nae kila siku anatoa thread ila hawaelewi tu
 
Umeona eeh luv? Haiwezekani promo zote hizi hawazioni jamani. Mi siwaelewi unajua hawa wanaume wa humu Evelyn Salt hebu wakawashughulikie tupumzike basi.

hahahahahhah eeeh hawajui kusoma alama sio
 
Last edited by a moderator:
...loh zamani kulikuwa hakuna mwanamke anayeweka hadharani alichofanya na mwanaume. Na ilikuwa ni aibu hata kujua tu dada au kaka ametoka faragha na mwenziwake. Leo watu wanasimulia hata staili zao hadharani, Dunia ilipofika sasa ni zaidi ya sodoma ?!...

Maendeleo.. ..
 
Back
Top Bottom