I made him blow a whistle yupeee! (the last crash!)

I made him blow a whistle yupeee! (the last crash!)

Wanaume wa humu ndani mwajua mwatuaibisha atii!!!
Alishaanza siku nyingi hamkumuelewa, sasa anaweka wazi anajua kumridhisha mwanaume mpk siku hiyohiyo kutangaza ndoa bado hamuelewi tu? Serious??????

Sijui kwanini ni wagumu hivi, hata nanii nae kila siku anatoa thread ila hawaelewi tu

Umeona eeh luv? Haiwezekani promo zote hizi hawazioni jamani. Mi siwaelewi unajua hawa wanaume wa humu Evelyn Salt hebu wakawashughulikie tupumzike basi.

Nadhani sasa watafunguka macho
 
Last edited by a moderator:
naona nyota hapa!!.maninaaaaa!.upsss kimeniponyoka.
 
Nlifikiri l.a.r.a kaondoka kumbe kamwacha mdogo wake humu..ila wanawake wengine mnaakili ndogo mpaka inasikitisha kwa sisi ambao wanawake tunawaheshimu sana..sijui ni ushamba , malezi, kukosa shule, umaskini au mfumo dume
 
Wanaume wa humu ndani mwajua mwatuaibisha atii!!!
Alishaanza siku nyingi hamkumuelewa, sasa anaweka wazi anajua kumridhisha mwanaume mpk siku hiyohiyo kutangaza ndoa bado hamuelewi tu? Serious??????
Ingekuwa zamani sawa sikuhizi na sisi tunaangalia kichwani zimo ndo tunaenda..unaweza kwenda kula gumegume kama hili likakutia nuksi..ukashangaa unaanza kuwa maskini..ila limejitshidi kupiga promo sana..ila omnivorus wanakula hili
 
Vipi jamaa, "MAJI HAYAKUMSUMBUA?"
Habari zenyu mabibi na mabwana,
Kama week end yako haijaenda poa basi nenda kajipoze na glass moja bariidii, yaweza kuwa ya maji, maziwa, juisi, soda, bia, wine etc mradi tuu iwe moja tuu.
Sasa basi wakati unajipoza na glass yako moja bariidii mamvo yalianza ijumaa ya jana. Jamaa kaingia kwenye 18 zangu mtoto wa kinyamwezi mie nilikuwa na wibe glass moja tuu kichwani basi macho yakarembuka reee miguu ndo ikawa ndembendembe midomo nikawa naongea kwa uvivuu ila tabasamu halitoki usoni. Kasinde mue nikampa what my mama gave me!! Hahahaa no mistake at all it was all the black woman and man do in the kwachukwachu......
Asubuhi sikuwa na hangover nikaamka mtoto wa kinyamwezi baada ya kupata morning glory nikaandaa heavy breakfast, nikaenda muogesha jamaa akawa ananitazama tuu mie kama simuoni. Baada ya breakfast tukatoka kwenda kufanya shopping ya vitu nyumbani ili nimkarangizie. On the way jamaa akawa anapiga miruzi tuu akiongea kidogo ni miruzi tuu. Nikakumbuka mama alishawahi niambia mwanangu ukifanikiwa kumkosha mwanaume kunako asubuhi akiwa anatoka atakupigia miruzi tuu lazima. Daah!! Nikawa natabasamu tuu njia nzima. Baada ya lunch jamaa kaniganda hataki kuondoka hapa ananipa mipango ya kunipeleka kwao anichukue jumla jumla. Sasa nawaza nikiolewa inamaana crash ndo basi tena...!!!! no more mingles au nimtoroke mi ntaweza kweli.????
Bado najiuliza kama hii ndo crash yangu ya mwisho au naota though nainjoy life ninayoishi sijui hiyo ya ndoa ntainjoy hivi au la.
Eti nyie wanaume wa humu, mlishawahi kufurahia penzi hadi mkiamka asubuhi ni miruzi tuu??
 
Bora unyimwe utajiri upewe BUSARA na HEKIMA. ...

Hata kama huna mwanaume jiheshimu ili uheshimiwe,jf waseja kibao lakini kila mtu anaheshimu nafasi yake....
wewe kwa styl hiyo ya kujimanua manua,kuneng'eneka sijui.........

Badilika . ....

Surely we differ.Au anatania hamaanishi.
 
Ukiolewa tutamiss hizo crash coz najua ndani ya ndoa karaha ndo zinaongoza
 
Wanaume wa humu ndani mwajua mwatuaibisha atii!!!
Alishaanza siku nyingi hamkumuelewa, sasa anaweka wazi anajua kumridhisha mwanaume mpk siku hiyohiyo kutangaza ndoa bado hamuelewi tu? Serious??????

hatupendi mizoga bin desperados!!!!
 
Back
Top Bottom