lara 1
JF-Expert Member
- Jun 10, 2012
- 15,700
- 29,160
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
2005! The beginning of the end.
"Lara itabidi uende shule utakayo pangiwa ya serikali. Mimi sina hela sahivi, bba yako anataka kurudi Uk, kutafuta maisha, mimi siwezi kubakia mwenyewe nalea watoto kwa shida. Najiandaa kustaafu." "Lakini bi mkubwa shule za serikali kivipi sasa? Wenzangu watanionajeeee? Mbona unataka kunifanyia social assassination? Sasa kama mzee kaamua kurudi UK mi kosa langu nini sasa?" " Ndo maisha mwanangu, hata mimi si kosa langu viwanda vimekufa nchi hii, na baba yako kasomea mambo ya viwanda,sasa badala afanye kazi kwa wahindi huko na wachina anataka kwenda UK, 50 yrs anaenda kufanya nini? Sawa he was there in 80s and 90s lakini times have changed, huu uzee wa kuangalia tunazeeka vipi anajitia kadata.Msinichanganye wote wawili,sina mtoto mmoja, ndo nimekwambia shule utayopangiwa ndo utayoendaaa, ama laa, ongea na baba yako muongozane UK, wewe utakuwa una suka watu nywele mnakula, msinivuruge kabisaaa. Stress zako za kufukuzwa fukuzwa shule kila siku natoa ada mpya sitakiiii. Alikuwa anakuweza baba yako, najua gvt hata uki ua mtu mtihani utafanya. Mambo natoa mamilion siku mbili umetimuliwa ada hairudi sitaki" Khaaaaaaaaaa!"
"Mzee, nilikuwa naomba twende wote UK, mwenyewe bongo pamenikataaa. Please mzee wangu." "Skia mwnangu, currently i am going through some shit of my own. najua mama yako is mad with me, and is not making it easy for you, na anakutumia kama leverage kunibadili mawazo yangu, but i gotta go to UK, one more time, just to say goodbye, best years of my life were there. And i have to go alone. Your old man is 50 now, if he doesnt go now, it is over, everything but you my daughter you are just 15, you have age in your hands, the future has a lot of suprises. Have hope! God is good! She is your mother she wont kill you, but i and her we are not related! Hahahahaaa" "Kwani baba lazima uende, you are stealing my life from me. Sasa si uende ukawaombe wahindi msamaha urudi kazini mimi niende Mzizima." "Najua mama yako kakutuma, you are too young but i will tell you this, i have spent 20yrs of my life doing what your mother wants, always followed her lead, sometimes against my will but just to give you a good life, but now age is not on my side, i gotta do the things i wanted to do for me. Like going back to UK. Sorry to disapoint you my daughter. You are on your own in this"
"Maza usinifanyie hivoooo, wewe mbona ulisoma Mzizima lakini enzi hizooo." Hiiii! Baba yangu alikuwa tajiri mkulima wa kahawa, anauza KNCU, dada yangu air hostess, shemeji yangu anafanya kazi UN, kaka yangu anafanya kanzi Nairobi ilikuwa kwanini nisisome Mzizima? Baba yako mission town, akiwepo mjini halishindikani jambo, hata nitake bei gani anaipata, lakini dno kajivua gamba hivooo uzzee umemjia vibaya, hakui akili, anzeeka mwili tu. We ukisikia majina yametoka, kachukue fomu." Mmmmmmh! Nikaona hii sasa nomaa sanaaa. Nikampigia mchizi, oyaa maza wako bado anapanga watu shule? Akaniambia ndio, nikamwambia mwambie basi anipange shule nzuri hapa hapa town. Akatia hiiii, unaenda gvt serious? Au una joke? Ndo naenda ndiooooo.. Hiii! Akawa anashangaa poa nitamwambia akupange girls tupu, hahahaaaaaaaa! Nikamwambia acha mambo ya kijinga anipange na boys nijipoze nafsi.
Majina yakatoka nimepangwa town, nikamfata maza mara ya mwisho, mama acha masihara leta hio ada nikalipe kule washaanza kusoma."Ada ya mchezo sinaaa, nenda kareport kayumba, ndo maisha yalivo. Daaaah! Basi kunimaliza nguvu ndo waniita dada kayumba! Hhahahaaaaaa! Zikapita wiki 2, nipo tu home najua bi mkubwa atalegeza msimamo, wapiiiiiiiiii. Nikaamua kwenda tu
THE END!
Siku ya kwanza nimefika nikaa zangu nyuma kwenye konaa, bored, flabaggasted, mambo ya kuimba wimbo wa taifa, kukaguanaaa. Akaja mdada boya boya tu, we dada wasichana humu hawakai nyuma, nyuma is only boys, njoo ukae huku. Nikamwambia aah asanate, mi nakaa huku huku, nyie kaeni mbele while i keep all them boys to my self. Mmmmmh! Akasema ngoja na mimi nije nikae huko nyuma. Nikamwambia karibu.
Basi ndo kuniambia naitwa Z, nimetokea Forodhani, i was straight A's, number 1 in mathematics Mocco Olevel, Div 1.8 olevel, blah blah blah! Huh! Nikasema huyu hatutowezanaaa. Lakini sasa ndo sina shoga, mgeni, maisha ya kayumba sijayazoea. I had no option radher to be nice. Nikamwambia mi Lara, nimetokea shule flani hapa hapa bongo.
Akaja mkaka, nikamuuliza mi fali we nani? Mimi flani flani. Nikamuuliza flani waziri? Akacheka! Nikawmambia no way no day? We si ndo flani kaka yako alikuwa Feza schools? Akasema ndio. I was like WHAT? Sasa unafanya nini in this shit hole? Akasema maisha tu. Nikajua na mimi maisha tu,namuuliza mwenzangu, wakati yangu yamenishinda. Nikaona It might not be so boring after all.
Basi mda wa kutoka aksema twendeni kwetu, kwa waziri sasa, yule mwenzangu akaanza ooh mi naenda kwa Mr. Manyilizu kusoma Advanced Mathematics, nikadakia, mimi siendi kokote, kama kuna min bar, na yule kaka yako handsome atakuwepo twende, si hapo tu Obay! Akasema yupoooo, twende i have a car, nitakurudisha mpaka kwenu. Mmmmmh! Shoga akafikiria akasema na mimi nakujaaa. Basi kwenda kule na uniform zetu kama mifuko, tutakuta watoto wa shebby, Feza, Mzizima, kunywa wine hatariiiiii. Futa fegi na bangi vibaya mnooo. Kurudi nyumbani saa 3. Moja haikai mbili haisimami.
Kesho kwenda shule yule Z, ananiambi tutafeli wewe, njoo kwa Manyilizu usome, nikamwambia shoga mi mvivu afu hesabu sizipendi, zenyewe ndo zinanikubali, isitoshe nina stress zangu binafsi, hii shule naka kidogo baba yangu atarudi atanitafutia shule ingine. Huku na huku akaniambia baba yak Usalama wa Taifa, kwao hapo Kijitonyama. Basi nikamuuliza ana bear kwenye fridge? Akasema ndio, ila sinywagi, nikamwambia twende, na dreva wetu mtoto wa waziri. Tukanywa heinken za Mjeda wa watu, nikamwambia kunywa wewe acha uboya, anajishauri, tunafungua vizibo tuuuu, baadae akanza kunywa, kumbe tutamuuu. Saa moja tukaishia. Kesho aaja kuniambia mdingi wake kaongeaaaa hatarii juu ya hizo heinken, anamtukana, kama umeamua kunywa mbona hamjanywa safari! Hahahahaaaaaaaaaaa! Kahamishia fridge chumbani.
Raha ya gvt walimu hawaji, so mnasogoa siku nzima, sasa siku hio tuko chemba squad kwenye kupulizia kitu cha marijuana, akanitafuta hajanipata, kanikuta niko na wanaaa, ndo kuniambia vipi huku, nikamwambia embu chukua pafu kwanza. Akavuta ilimpalia hatariii. Basi akapita dada mmoja A lister wa shuleni hapo, anatembea kama twiga, akawa ananiambia yule unamjuaaa? Yule flani bwana ni mbabeeeeeeeee hakuna mfano, kaa nae mbali. Kuna siku alizomewa na shule nzimaa. Siku ingine aliwapiga watu kwenye dala walimcheka. Sasa akawa anakuja upande wetu. Basi akanyamaza. Kufika plae, akstukia tu, Laraaaaaa, mambooo! Kumbe uko shule hii. Nikamwambia nipo mwanangu. Oooooh! You should join us. Tunaenda steers after school, nikamwambia mimi siku hizi nasoma Pure mathematics, naenda kwa Manyilizu na Z, hapa kipanga wangu. Akasikitika akaondoka, see you arround. Basi Z ananishangaa kumbe mnajuanaaa, nikamwambia ndiooo. Akashangaaa. Nikawa naja zangu saa 3, napita kwenye tundu darasani. Nae akaknza kuja saa 3.
Wambea wakamtia ndimuu nampotezaa, haendi discussion, sijui kwenye tution. Akahama akahamia mbele tena. Mi huku nyuma back banchers sina habariii, akahamia mdda moja bangi 2. Kukawa full party. Akaamua kurudi sasa kwa kasi kubwa. Maisha ya shetani ukishayaonja kuyaacha ni tabu sanaaaa. Hapo nimehamia hostel nimekutana na madaz mamaaa. Watu wanajuana mpaka na management ya Bills na Much More. Yaani tunaingia bureeeeeeeee. Kote kote. Jackies ndo barazani. Mwenzangu anasoma usiku kucha, asubuhi shule hata hatwendi tunacheki na mtoto wa waziri, leo kiwanja gani. Basi akampata mwalimu wa hesabu ni mlevi balaaaaaaaaaa! Anatufundishia bar, Sinza. Mwalimu anakunywa, mimi nakunywa, mtoto wa waziri anakunywa, Z anaonjaaa. Calculus inashuka kama maji. Mwalimu wa Geog alikuwa ndo kamaliza six anangoja kwenda chuo, akawa ananitka, so hatulipi ada wala nini, tunasom bureeeeee. Tatizo likawa helaaa. Manak mtoto wa waziri nae akiwa hana hela chama limekufa, mwenyewe hela sinaa. Z ana hela manake baba yake alikuwa hajui ada bei gani, akawa anamwambia ada Million Moja. Enzi hizo iliwa nyingi. Basi ndo ansomea tution na tunatumia.
Nikamtambulisha kwa mishangingi yote Dar, ya shule zoote, akawa A lister. Ila darasani kila siku wa 1. Basi akapata mbaba, dereva wa Mh. flani, ana mihela ni balaaaaaaaaa. Akawa kila siku anamleta na Benzi, afu wazee hawajui kutongozaaa, anampa hlea tuu. Yaani ammwagia helaaaa. Basi akawa ananiambia im still virgin, mpaka nifike chuo. Nikawa namwambia virgin wewe kiboko, bia unakunywaaa, bangi unavutaaa, disco unaendaaa. Hahahhaaaaa! Tutakawa tuacheka tu. Sasa kuna shoga kundi lao walikuwa wanatoka na G7 ya enzi hizo. Mmoja anatoka na Papito Msofeee, Mwingine na Mnigeriaaa, Mwingine yule kiongozi wa vita vya Majimaji. Na kundi hili lilishawahi kukwaruzana na Kajalaa Masanje kisa P Funk. Na washatibuana na Namikoa kisa Top In Dar. Na Stellas Shubira washachanganyana kimtindo. Ni kundi sugu jijini hamna mafano. Sasa Mrs Mpopo akafanyiwa birthday ya kichoovu na huyo mnigeri, watu walivo washamba wakawa wana admireee.
Nikamwambia Z fanya birthday funga mwaka hili kundi tuli R.I.P. Akawa anaogopa ogopaaa. Nikamwambia we niamini mimi, watoto wa HKL na HGE wana mdomo sanaaa. Akafanya bongeee la party. Japo halikufikia mwisho baada ya Headmaster kuitwaaa. Lakini Mzee wetu Driver wa muheshimiwa alifanya matusiiii. Manake alimpa aina 4 ya keki akamwambia nichukulie moja wapo, mzee alivo na sifa akaleta zote 4 babakeeeeee. Heinken za kumwagaaa, wisky, wine, hakunaaaaaaa sodaaaa. Msosi take away nyama tupuuu, manake ni kuku, samaki, mishkaki. Iikuwa balaaaaaaa. Laptop ya mziki, ya muheshimiwa. Aaaaah! Basi kuja walimu pale tukakimbia woote. Kwa ushenzi bia zile na pombe Headmaster akasema pelekeni kwangu. Walimu wakawa wana mmind namna anazuia mzigo wote peke yake.
Kesho akatuita assembly wote hatupo. Akatangaza NIME WASUSPEND wote wawili kwa miezi 3, warudi na wazazi wao. Hahahaaaaaaaa! Kumpiga chura teke ni kumuongezea mwendo. Mi ndo nikawa nalaaaaaa hostel. Yule kwao anaamka asubuhi anafanya usafi, anakuja Hostel, tunajiachia tu mpaka mda wa jioni anarudi kwao. Miezi mitatu mama yake akaturudisha, katulamba bakora 10, 10 mbele za walimu, kaongeaaa, soo likaisha.
Hivo hivo mpaka form 6, tukafanya NECTA, biashara ikaishaaaa.
Tukakutana tena chuo, mwenzangu hapo alipata 1 ya point 6, na mimi nikapata tumaksi tu twa kuendea chuo. Na hapo alifanya kazi kubwa mwishoni kunifudhisha mambo ya miaka 2 kwa miezi mi 3 ya mwisho. Loooooooooohhh! Hahahahaaaaaaaaa! Ilikuwa balaaaaaaaaa. Hatulali. Ikawa ananimezesha sasa. Nilipata C zangu lakini.
ITAENDELA!