Habari zenyu mabibi na mabwana,
Kama week end yako haijaenda poa basi nenda kajipoze na glass moja bariidii, yaweza kuwa ya maji, maziwa, juisi, soda, bia, wine etc mradi tuu iwe moja tuu.
Sasa basi wakati unajipoza na glass yako moja bariidii mamvo yalianza ijumaa ya jana.
Jamaa kaingia kwenye 18 zangu mtoto wa kinyamwezi mie nilikuwa na wibe glass moja tuu kichwani basi macho yakarembuka reee miguu ndo ikawa ndembendembe midomo nikawa naongea kwa uvivuu ila tabasamu halitoki usoni.
Kasinde mue nikampa what my mama gave me! Hahahaa no mistake at all it was all the black woman and man do in the kwachukwachu......
Asubuhi sikuwa na hangover nikaamka mtoto wa kinyamwezi baada ya kupata morning glory nikaandaa heavy breakfast, nikaenda muogesha jamaa akawa ananitazama tuu mie kama simuoni.
Baada ya breakfast tukatoka kwenda kufanya shopping ya vitu nyumbani ili nimkarangizie.
On the way jamaa akawa anapiga miruzi tuu akiongea kidogo ni miruzi tuu.
Nikakumbuka mama alishawahi niambia mwanangu ukifanikiwa kumkosha mwanaume kunako asubuhi akiwa anatoka atakupigia miruzi tuu lazima.
Daah!! Nikawa natabasamu tuu njia nzima. Baada ya lunch jamaa kaniganda hataki kuondoka hapa ananipa mipango ya kunipeleka kwao anichukue jumla jumla.
Sasa nawaza nikiolewa inamaana crash ndo basi tena...!!!! no more mingles au nimtoroke mi ntaweza kweli.?
Bado najiuliza kama hii ndo crash yangu ya mwisho au naota though nainjoy life ninayoishi sijui hiyo ya ndoa ntainjoy hivi au la.
Eti nyie wanaume wa humu, mlishawahi kufurahia penzi hadi mkiamka asubuhi ni miruzi tuu?