I love you all..

I love you all..

hahaaaaa aisee usikate tamaa, ziba pancha, weka pedeli za tairi genero, mtokee tena...uendage na zawadi nawee, sio mikono tupu tu...ebo!!

Mi sijambo aisee naona na ww umesalimika

mara hii lazma nikienda niazime raba la invizibo! stay tuned

uschekecheke tu! mwambie kama mimi ndio ninaekuweka mjini!

lazma nikuchumbie kwa pete la shaba!

haya waswahili rogeni basi

waswahili wanasoma sredi huku wamevua nguo. Wataroga kweli shauri yako.

Wala sio tabia mbaya...a perfect match...
khaaaa! Hebu futa hyo kauli kabla kloro hajavimba bichwa nikaingia gharama ya kumpeleka india.

hahaaaaa lol....aah niacheni niende zangu, umeme umeisha na chaji ilobaki ina matumizi very obligatory...
Siwawezi mimi...yaani sisi waswahili tko naked mida hii?

Dah! namimi acha nitimue, nina press conference nusu saa ijayo kuongelea kuhusu athari za "love bite bila kupiga mswaki"

mbarikiwe sana.

khaaaa! Hebu futa hyo kauli kabla kloro hajavimba bichwa nikaingia gharama ya kumpeleka india.

Usijali kichwa kloro na hivo ni kiduchu, kikivimba kitakua size wala humpeleki india

khaaaa! Hebu futa hyo kauli kabla kloro hajavimba bichwa nikaingia gharama ya kumpeleka india.

Usijali kichwa kloro na hivo ni kiduchu, kikivimba kitakua size wala humpeleki india

heheh mkiongelea kichwa sana mara sredi itapelekwa jukwaa la wakubwa hii! kuna mod flani (jina tunalo) anajifanya anajua kiswahili kuliko nyerere.

Mentor mbona kama dasilamu inakuchanganya bro?‘Embu njoo nyumbani upate ‘wari‘ wa asili kidogo!!

Will miss you though...much love!

Mentor mbona kama dasilamu inakuchanganya bro?‘Embu njoo nyumbani upate ‘wari‘ wa asili kidogo!!

Will miss you though...much love!
Hahahah...'Kitochi muhimu

Dears,

Guests,

Members,

Junior Members,

Senior Members,

Senior Expert Members,

Premium Members,

Moderators,

Super Moderators,

Robots.

I LOVE YOU ALL.
Cheerio...

I love you too mwaaaaaaaaaaaaaaa.

Back
Top Bottom