I love you all..

I love you all..

wewe jamaa unakaribia kufa nini? or you just wanna enjoy our attention?

Hivi mtoa mada anajua kuwa kuna sub mada inaendelea?

klorokwini, wee na husninyo ni kapo?

hehehe haujambo wewe?

haka kahusninyo nilienda kwao kutoa mahari faza wake akanitimua na baskeli yangu mbovu, lakini sijakata tamaa bado

hehehe haujambo wewe?

haka kahusninyo nilienda kwao kutoa mahari faza wake akanitimua na baskeli yangu mbovu, lakini sijakata tamaa bado
Hii kesi ngumu kuamua!
Kumbe ulifika kwao na hukuishia mpwapwa!!

hahaaaaa aisee usikate tamaa, ziba pancha, weka pedeli za tairi genero, mtokee tena...uendage na zawadi nawee, sio mikono tupu tu...ebo!!

Mi sijambo aisee naona na ww umesalimika

Hii kesi ngumu kuamua!
Kumbe ulifika kwao na hukuishia mpwapwa!!
heheh Kamanda kuna mengi yamejificha, nekst week naanzisha sredi nzima.
kaa mkao wa kula lawyer wa kujitolea

hahahaha! Umenichekesha.

Afadhali ucheke (kwa maana ya kufurahi) kuliko ungenuna mpendwa....nimesoma koments zenu nikaishia kujichekea mwenyewe tu hapa....

You two aaaaah....

Afadhali ucheke (kwa maana ya kufurahi) kuliko ungenuna mpendwa....nimesoma koments zenu nikaishia kujichekea mwenyewe tu hapa....

You two aaaaah....

umeona kloro ananifundisha tabia mbaya.
Kloro mi staki bwana.

umeona kloro ananifundisha tabia mbaya.

Kloro mi staki bwana.

Wala sio tabia mbaya...a perfect match...

Hivi mmefikiria kujipatia kipato cha ziada kwa kutumia hiki kipaji?
Lol...angalau kloro akienda ukweni basi awe na tuktuku sio basikeli (labda kama wakwe wako bariadi...lol)

Back
Top Bottom