I love you all..

I love you all..

sadaka alikuwa anazinunulia make up na lipustiki. wamemtimua!
usmwambie mwenyewe lakini.

ha ha ha... hataona post yako bada ya kusoma na delete...

Jamani hili suala la pesa laniuma... naenda kumtafuta Uporoto popote alipo!
 
ha ha ha... hataona post yako bada ya kusoma na delete...

Jamani hili suala la pesa laniuma... naenda kumtafuta Uporoto popote alipo!

uporoto kapoteza fahamu leo ya tatu! waswahili wamemuibia jeans yake ya pekee alioletewa kutoka botswana ambayo aliwahi kumtongozea lizzy.
 
uporoto kapoteza fahamu leo ya tatu! waswahili wamemuibia jeans yake ya pekee alioletewa kutoka botswana ambayo aliwahi kumtongozea lizzy.

Dah! Hio kali... nani anamhudumia?? (inatakiwa apone.. si unaelewa pesa tena....lol...)
 
heheheheh hakyababu anaesema husninyo katulia basi anapata zambi
<br />
<br />

husninyo kawa sista. Ashadii na babu asprin wanalitambua. Sitaki kufanya wala kufanywa matusi. Naongea maneno matakatifu tu.
 
Dah! Hio kali... nani anamhudumia?? (inatakiwa apone.. si unaelewa pesa tena....lol...)

nyumba ndogo! waifu wake mpaka sasa hana data za kinachoendelea, anajua uporoto kaenda zimbabwe kununua mitumba ya magendo, kumbe yuko uwanja wa fisi. Dah! kweli dunia shujaa wajameni!
 
Back
Top Bottom