The mission 2017
JF-Expert Member
- Aug 14, 2017
- 6,179
- 14,035
Mapenzi bhana, kuna time baada ya kuachana na mpenzi wako au maisha kuwawatenganisha kwa mda mrefu unaanza kuhisi umemmiss X wako and all of a suddenly unataka fall in love tena
lakini kadri muda unavyopita unaanza kukumbuka zaidi zile nyakati nzuri kuliko sababu zilizowafanya mshindwe kuwa pamoja.
Baada ya miaka kadhaa, unajiuliza Je ni mapenzi kweli au delusion tu ya kumbukumbu nilizobaki nazo ?
Wakati mwingine tunammiss mtu ambaye hayupo tena kwenye maisha yetu, lakini tukirudiana leo huenda mambo yasiwe mazuri kama yalivyokuwa mara ya kwanza.
Kumbukumbu huondoa mabaya mengi na kuacha mazuri yaonekane zaidi.
Popote ulipo Miss T, i miss you. You were the best, not the right one".
Dedication - White keys by Dominic Fike