I love you all..

I love you all..

Mentor, you haven't been the same since what happened yesterday. Is everything okay?
 
Mentor, you haven't been the same since what happened yesterday. Is everything okay?

NN his so absence here at JF for a long time to come naona imem frustrate...

@ Mentor Love you too Kid Bro.... Ila hoping this is your last thread.
 
Dears,

Guests,

Members,

Junior Members,

Senior Members,

Senior Expert Members,

Premium Members,

Moderators,

Super Moderators,

Robots.

I LOVE YOU ALL.
Cheerio...

umemaliza? au tusubiri utaendelea?

heheeh JF bana!
 
heheh hela nilimuachia husninyo, hajakupa?

habari yangu poa tu, nimepata kanyumba ndogo heshima imeongezeka. vipi wewe?

Mie mzima wa afya... nimefurahi kukuona ingawa taarifa yako ya mwisho sikua na wasi (ila kuhusu pesa)

Naona tu nibanane na Uporoto... au ngoja nimulize Husny...lol
 
Mie mzima wa afya... nimefurahi kukuona ingawa taarifa yako ya mwisho sikua na wasi (ila kuhusu pesa)

Naona tu nibanane na Uporoto... au ngoja nimulize Husny...lol

huyu husninyo nataka nimpige kibuti bana au unasemaje?, kamenipeleka mpaka mpwapwa kumbe kanaishi border la burundi. Wizi mtupu. atalipa nauli yangu aisee!
 
huyu husninyo nataka nimpige kibuti bana au unasemaje?, kamenipeleka mpaka mpwapwa kumbe kanaishi border la burundi. Wizi mtupu. atalipa nauli yangu aisee!

ha ha ha... mara ya mwisho mbona nimesikia kua kawa Sister....

Hizi habari umenipa hapa inabadilisha mawazo yangu yoote juu yake... Dah! lol
 
ha ha ha... mara ya mwisho mbona nimesikia kua kawa Sister....

Hizi habari umenipa hapa inabadilisha mawazo yangu yoote juu yake... Dah! lol

sadaka alikuwa anazinunulia make up na lipustiki. wamemtimua!
usmwambie mwenyewe lakini.
 
<br />
<br />
hlf wewe. Ufalme wa mbinguni utauckia kwa majirani.

hheheheh dah ungewajua hawa majirani wenyewe! dah! mwenye zambi ndogo basi anabaka mbuzi! yaani mimi ndio mtakatifu wa hiki kitaa.
 
Back
Top Bottom