I lost My Only Brother I have

I lost My Only Brother I have

Mwenyez Mungu akujalie moyo wa ujasiri na uvumilivu ktk kipindi hiki kigumu. Pole sana.
 
Pole sana, Mungu akutangulie katika safari yako.
 
Pole sana mkuu, tupo pamoja kiroho na kuhakikishia sala zangu kipindi hichi kigumu kihisia. Pole saaana bro.
 
Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un

"Verily we belong to God and to God we return."

Pole sana.
 
Pole sana mkuu, Mungu akutangulie katika safari yako kuelekea huko Mby.
 
Ndugu yangu Derimto,yote ni kazi ya Mungu,haina makosa. Mwanga wa milele umwangazie,apumzike kwa amani,Amina.
 
Pole Meku...iliwahi kunitokea HII....Jikaze mkuu na Mungu akupe Nguvu...
 
Pole sana sana mkuu. Mwenyezi Mungu akupe faraja yake katika kipindi hiki kigumu na cha majonzi na pia amlaze marehemu mahali pema peponi apumzike kwa amani. Maneno pekee hayawezi kukurudishia aliyepotea ila tunaamini kwa rehema za Mungu utapata faraja ya moyo katika kipindi hiki kigumu. Pole sana kaka.
 
Pole sana kwa msiba na Mungu awape faraja na msafiri salama
 
Shukuruni kwa kila jambo. Bwana Ametwaa.
Poleni sana.
 
Pole kwa msiba, Mungu akutangulie katika safari yako
 
Poleni sana Derimto...Wengi wetu tuliowahi kupoteza kaka, ndugu na jamaa wa karibu tunajua machungu na wakati mgumu familia yenu inapitia.

May blessings, love, and joy surround you.

Psalm 30:5
Weeping may remain for a night, but rejoicing comes in the morning.
 
Pole sana kaka...Mungu awape faraja na amani itokayo kwake.
and hust to let you know..here at JF u have brothers too...pamoja kaka n safari njema!!!
 
Pole sana Derimto. Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi. Msafiri salama.
 
Pole sana mwenzetu kwa msiba wa mpendwa kaka.
Mungu akupe nguvu kustahimili maumivu makali ya kuondokewa na mpendwa wako.


Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi. Amen!
 
Back
Top Bottom