Derimto,
...............Mungu amlaze mahali pema peponi kaka yako Mpendwa Ndugu David Mwampashi...................................................Hakika ina huzunisha sana kwa kupotelewa naye kwani,...............................................ndiyo pekee katika familia yenu,....................................kumbuka tuu kuwa "kazi ya Mungu haina makosa, mlimpenda sana,.....................yeye mwenyezi mungu kampenda zaidi,......................................kumbuka sote tupo safarini tukiamini kuwa iko siku tutakutana tena pamoja...........................,jina la bwana lihimidiwe.
Usafiri salama,kuelekea msibani, wafikishie salamu za rambirambi ndugu,jamaa na marakiki wa familia yako.
.....................Pole sana.