I don’t wanna marry him, what should I do?

I don’t wanna marry him, what should I do?

Hahaha kwa hiyo mtu kusema biashara zangu ni kosa? Katika eneo hilo alitakiwa asemeje eti, biashara zetu? Wanaume watu wa ajabu sana ninyi
Kuna namna ya kuwasilisha maneno yakawapa nguvu wengine wakajihisi thamani,mfano umewatembelea mafundi sait,mnazungumza vizuri ,jaribu kuwafanya wajione sehemu ya wewe," vipi mafundi hii nyumba yetu hapa tuifanyaji? " je tukifanya hivi itadumu kweli? Kauli za kufanana na hizo huwa zina faraja, hata kama hakuna ukweli.
 
Hahahaha, sijataka kuendelea kufanya profiling.

Ila mtoa mada alikuwa anamaanisha anaweza kusimama kwa miguu yake.

Nadhani angekuwa hana biashara zake, hii mada tusingeiona.
Kweli kabisa,wanawake 80% ndivyo walivyo
 
Utakuwa mwanamke wa dar tu wewe lazima, baadhi ya Wanawake wa dar wanaishi Maisha sio ya hii dunia, viko na fake life, fake, love, after money na vya hovyo.. Utakuja kujuta
 
kipindi mnaanzisha mahusiano, ukitushirikisha hapa Jf? Pambana na hali yako mkuu
 
Kama ana uwezo wa kukuhudumia kila kitu kwa nini hawezi kupanga kwakwe?
Napata shida kumuelewa huyo kaka how comes kirahisi hivyo naishi kwako??

Wewe ulianzaje kumkubalia mwanaume ambae hajakuoa naishi kwako? Bora angekuwa anakuja matembezi hata wiki ila sio kuishi kwako.
Aisee mm sijawahi hata siku moja kumlaza mwanaume kwangu atalala mchumba wangu mwenye malengo na mm tu.
Kama unajua hutojutia basi mwambie live.
Kumbe umaanisha hapo kwako unaweza kutombwa tu lakini sio kulala mpka asubuh
 
Nilianzisha mahusiano na huyu mwanaume miaka miwili na nusu ilopita. Baada ya miezi 6 ya mahusiano nilishtuka kajihamishia kwangu. Sikuweza kumfukuza i just decided to play along though sikupendezwa. Akachukua majukumu ya kulipia rent na matumizi mengine ya ndani.

Kuhusu mambo ya matumizi yuko vizuri tu, japo nafanya kazi na nina biashara zangu pia ila bado hunipa pesa za matumizi. Amenitambulisha nafikiri karibia kwa ndugu zake wote na wanajua tunaishi pamoja, lakini mimi anawafahamu marafiki zangu wawili tu.

Sikuwa tayari kumtambulisha sana kwa upande wangu maana i was having second thoughts. Amekuwa akihitaji mtoto tangu tunaanza mahusiano hivyo nikawa na mtihani wa kujitahidi nisishike mimba kwa kipindi chote hicho.

Amekazania sana issue ya kutaka tufunge ndoa, nimeshalikwepa sana ili ajiongeze lakini naona haelewi somo. Naogopa kumwambia direct kuwa siko tayari kuolewa na yeye, i never fell in love with him. We rushed into this, didnt give me time to digest this. Now i feel like am suffocating. Nimejaribu sana kumpenda nimeshindwa.

Nitumie njia gani ambayo haitomuumiza sana, au itakayomfanya yeye aniache? Nisaidieni maana am tired living a lie.
Sasa alivyoo kutongoza kwanini ukakubalii sema kwanzania ya kumkubalia ndio tukushaurii maana kama umemlia hela zake ukileta zakuachana anaweza kukupiga na kisu pesa ishakuwa ngumu saivi take care kama huna mpango na MTU usimkubaliee ata elewa tu itakuwa nafuu kwako kujiepusha na mengi na kuweka uwadui nawatu wakijinga
 
Kwanini ulikubali alipokutongoza


Wanawake bhana sijui tukoje... Me bwana mtu kama simpendi walah sikubali mtongozo wake hata njiani akinisimamisha nikishapiga hesabu zangu fasta sisimami ng'o nisije kuwatesa watu kwa mawazo


Mtu kama unaona humpendi mapemaaaa kabla hakujapambazuka mwambie kuliko kukubali kukaaaaaa siku unaanza oooh ntamuachaje..... Kaa nae huyo ni chaguo lako
unaposema chaguo lako ndo unamuongezea mzigo
 
He deserves a better person, umeishi na mtu kinyumba for that long wakati hata humpendi, kwa nini hukumweleza hapo mwanzo? Kama idea yake ya ku-move in hukuipenda, kwa nini usimwambie mapema?

He deserves better, let him go!!
 
No matter how difficult and painful it may be....aisee mwambie ukweli..tena ufanye mapema
 
Huyo jamaa nae ni zuzu sana! Ameshindwaje kukuelewa kwamba humpendi?
 
dah mwanamke mshenz kama wewe ndo nlikuwa nae mwaka 2003,nilimpa kila kitu baada ya kwenda masomoni ndani ya miezi 6,tu akaanza kubadilika kauli ya mwisho tuachane nikampotezea na kumwachia na kila kitu tukapotezana toka 2003,mpka mwaka jana nakuja kukutana nae kariakoo anauza nyanya huku mgongoni akiwa na mtoto wa mwaka na nusu dah nilihuzunika sana maana alilia mpka basi nilikuwa na wife pembeni alichoambulia ni elf 10 ya kumuungisha nyanya.Wife baadae nlimweleza kila kitu maana alikuwa hajui naona ndo mapenz ameyazidisha kwaiyo na wewe usijejutia kma alivyojutia mwenzio
Dah

Am so sad for that woman

Maskini !!
 
Ukweli ni Ukweli ingawa ni.mchungu.


Mwanamke alipaswa aolewe na yule mwanaume alomtoa BIKRA kwa kua ndio alivunja agano lake kwa Damu naaaaa tukumbuke kua Tendo la ndoa.pamoja nakua la kimwili pia ni la kiroho na ndio linatoa Maisha.


Kwaiyo, Kama sio kukubaliana tu ,kuvumiliana n.k.... Hamna mwanamke atakayemsahau Jamaa alomtoa bikra.

Sohata wewe mtoa, Hata useme ivi, Hamna mwanaume utasema umpende 100%
 
Meza pain killer tu mkuu.. Hiyo ndio fact yenyewe. ..wachache baadhi yenu mnajielewa ila majority yenu wengi kichwani hamna kitu '' so Hata pale mnapo jitahidi kuji tetea huwa utetezi wenu unamezwa na madudu kama haya tunayo yaona hapa. ... na hatimae huwa tunabaini kwamba mnafanya kazi ya kuitakatisha kaniki iwe nyeupe. .... I'm so sorry to say this
Naskia kuna mazungumzo

Shetan alifanya na eva pale eden

Hatujui alichiwambia mpaka leo

Hafu ni mara chache sana mwanamke kuumwa na nyoka sijui wana agreement gani hawa !!
 
Back
Top Bottom