I don’t wanna marry him, what should I do?

Naskia kuna mazungumzo

Shetan alifanya na eva pale eden

Hatujui alichiwambia mpaka leo

Hafu ni mara chache sana mwanamke kuumwa na nyoka sijui wana agreement gani hawa !!
Jamani mbona mimi nimewahi umwa na nyoka wengine wengi nawajua wameumwa na nyoka
 
wakudadavua tumeishaelewa sababu ya kutaka kumuacha msela. Kabla ya hiyo miezi 6 ya yeye kuhamia kwako mambo yalikuwa muswano.
Haya mwambie mwamba ukweli asepe hata kama ataumia bora iwe hivyo.
 
Mmeanza matatizo yenu toka kuumbwa nyie ndo chanzo chenyewe cha matatizo nyie ndo mashetan sisi ni victims wenu

Kama ingekuwa sisi ndo chanzo na sisi ndo wenye makosa kwanini Mungu asingetupa adhabu sisi tu bali alitupa wote?
 
Nilianzisha mahusiano na huyu mwanaume miaka miwili na nusu ilopita. Baada ya miezi 6 ya mahusiano nilishtuka kajihamishia kwangu. Sikuweza kumfukuza i just decided to play along though sikupendezwa. Akachukua majukumu ya kulipia rent na matumizi mengine ya ndani.

Kuhusu mambo ya matumizi yuko vizuri tu, japo nafanya kazi na nina biashara zangu pia ila bado hunipa pesa za matumizi. Amenitambulisha nafikiri karibia kwa ndugu zake wote na wanajua tunaishi pamoja, lakini mimi anawafahamu marafiki zangu wawili tu.

Sikuwa tayari kumtambulisha sana kwa upande wangu maana i was having second thoughts. Amekuwa akihitaji mtoto tangu tunaanza mahusiano hivyo nikawa na mtihani wa kujitahidi nisishike mimba kwa kipindi chote hicho.

Amekazania sana issue ya kutaka tufunge ndoa, nimeshalikwepa sana ili ajiongeze lakini naona haelewi somo. Naogopa kumwambia direct kuwa siko tayari kuolewa na yeye, i never fell in love with him. We rushed into this, didnt give me time to digest this. Now i feel like am suffocating. Nimejaribu sana kumpenda nimeshindwa.

Nitumie njia gani ambayo haitomuumiza sana, au itakayomfanya yeye aniache? Nisaidieni maana am tired living a lie.
Kwa vyovyote vile utakavyofanya lazima aumie.sasa kama ni kweli humpendi na haupo tayari kuolewa nae mwambie tu ukweli kua unamwaga mboga.
 
hivi unafahamu mpaka leo hakuna anaejua pale Eden ndugu yenu nyoka(Shetani) aliongea nini na Eve? hakika nyie watu(wanawake) bila uwepo wenu pengine maisha yangekuwa matamu sana
Kama ingekuwa sisi ndo chanzo na sisi ndo wenye makosa kwanini Mungu asingetupa adhabu sisi tu bali alitupa wote?
 
JANAMKE BINAFSI HILI...
Sometimes namwelewa mtoa mada sometimes simuelewi.

Namuelewa kwa sababu najua huwezi lazimisha kupenda.

Nashindwa kumuelewa kwa sababu naona ana ego flani hivi, maana sentensi tatu anatamka, "biashara zangu". Sitaki kuendelea kufanya profiling, lakini, a brother is in a very difficult situation.

Yote kwa yote, Lazima ufanye uamuzi kwa faida yako, faida yake, na faida ya Jamhuri.
 
Yaani haujaliona tatizo la mtoa mada like seriously? ? Au ni kwa kuwa kwako ni Habari ya binaadamu kumla Samaki

Ila ingekuwa ni tukio la Samaki kumla binaadamu kwa upande wako ..basi Ungetamani kuona TV .magazeti. na social media zote zikikemea vikali na kutaka Samaki huyo achukuliwe hatua! !!!

hivi umejiuliza endapo tukio hilo angekuwa amefanyiwa mwanamke Hali ingekuwaje humu katika upande wenu. ........??

Kuna wakati yatipasa tu - onyeshe Utu wetu katika Matukio kama Hasi kama haya pasipo kujali jinsia zetu. Dini .wala itikadi

Mtoa mada ametoa boko
Bibie umeolewa..?
 
Mie nakushauri UACHANE NAE ..

.tafuta wakati uongee nae

...kuwa straight and firm

...ila kuwa msikivu
let him talk his fears..

kama uhusiano utavunjika nini anakihofia most..

.halafu hio ndio iwe starting point..

hakikisha ,unamhakikishia utakua bega kwa bega kwenye mambo yote anayohofia

..sema huwezi kuwa mke wake

..kama ni kipato..

.unaweza kumfungulia biashara ama mkafungua joint business

......hakikisha unamuacha ana feel confident that there's love in this world and he deserve happiness

.....Usimcriticise as itamuondelea kujiamini…

…………...Kuweni Friends ..

Au, Friends with benefits.

.is also okay...only if you both know the BOUNDARIES....
 
"...Baada ya miezi 6 ya mahusiano nilishtuka kajihamishia kwangu..."...

Hapo umedanganya. Kuna vitu vilivyokufanya umpende mpaka ukakubali ahamie kwako. Pengine vitu hivyo kwa sasa havipo au vimebadilika. Au pengine ulitaka tu akusaidie katika hayo mambo ya rent na mengineyo na sasa umefikia melengo yako unamwona hafai. Kizungumkuti cha dunia: wenzio wanahaha kutafuta waume wa kuwaoa.

Ili kuzuia mikanganyiko jikaze tu umwambie ukweli. Toa sababu zako. Hata kama umepata mwanaume mwingine unayedhani anakufaa zaidi we mwambie tu. Hii ni bora kuliko kuanza kumfanyia visa na mambo mengine ya kitoto. Kama anakupenda kikweli atakuelewa na hatakulazimisha lakini lifanye hili kwa heshima, utashi mwema, uwazi na unyenyekevu. Kama unaona ni vyema unaweza kumwambia mbele ya mchungaji wenu au mtu mwingine mwenye mamlaka kama mama yako...Ukifanya vinginevyo si ajabu tutakuja kukusoma ukiwa kama mwathirika wa hawa wanaocharangwa mapanga na kuchomwa visu na wapenzi wao baada ya wapenzi wao kuwekeza sana tena kwa muda mrefu halafu wanakuja kuwafanyia visa vya kijinga mwishoni mwishoni huku...

Mungu Akuhekimishe katika hili
ONE OF MY EX PARTNER ALINICHANA KWA FORMULA HII AND I DID APPRECIATE PLUS UNDERSTOOD HER AFTERWARDS.

SALUTE BRO!!
 
Nilianzisha mahusiano na huyu mwanaume miaka miwili na nusu ilopita. Baada ya miezi 6 ya mahusiano nilishtuka kajihamishia kwangu. Sikuweza kumfukuza i just decided to play along though sikupendezwa. Akachukua majukumu ya kulipia rent na matumizi mengine ya ndani.

Kuhusu mambo ya matumizi yuko vizuri tu, japo nafanya kazi na nina biashara zangu pia ila bado hunipa pesa za matumizi. Amenitambulisha nafikiri karibia kwa ndugu zake wote na wanajua tunaishi pamoja, lakini mimi anawafahamu marafiki zangu wawili tu.

Sikuwa tayari kumtambulisha sana kwa upande wangu maana i was having second thoughts. Amekuwa akihitaji mtoto tangu tunaanza mahusiano hivyo nikawa na mtihani wa kujitahidi nisishike mimba kwa kipindi chote hicho.

Amekazania sana issue ya kutaka tufunge ndoa, nimeshalikwepa sana ili ajiongeze lakini naona haelewi somo. Naogopa kumwambia direct kuwa siko tayari kuolewa na yeye, i never fell in love with him. We rushed into this, didnt give me time to digest this. Now i feel like am suffocating. Nimejaribu sana kumpenda nimeshindwa.

Nitumie njia gani ambayo haitomuumiza sana, au itakayomfanya yeye aniache? Nisaidieni maana am tired living a lie.
How old are you?
 
Women women women, namuonea huruma jamaa yangu but wewe mwanamke tambua kuwa duniani there is Karma and the wise said "It's better marrying the one who loves you and learn loving him/her in the process", hawakuwa wajinga kusema hivyo.
 
Mie nakushauri UACHANE NAE ..

.tafuta wakati uongee nae

...kuwa straight and firm

...ila kuwa msikivu
let him talk his fears..

kama uhusiano utavunjika nini anakihofia most..

.halafu hio ndio iwe starting point..

hakikisha ,unamhakikishia utakua bega kwa bega kwenye mambo yote anayohofia

..sema huwezi kuwa mke wake

..kama ni kipato..

.unaweza kumfungulia biashara ama mkafungua joint business

......hakikisha unamuacha ana feel confident that there's love in this world and he deserve happiness

.....Usimcriticise as itamuondelea kujiamini…

…………...Kuweni Friends ..

Au, Friends with benefits.

.is also okay...only if you both know the BOUNDARIES....
U talked point, I bet she can't do that, maelezo yake yanaongea yenyewe
 
Nilianzisha mahusiano na huyu mwanaume miaka miwili na nusu ilopita. Baada ya miezi 6 ya mahusiano nilishtuka kajihamishia kwangu. Sikuweza kumfukuza i just decided to play along though sikupendezwa. Akachukua majukumu ya kulipia rent na matumizi mengine ya ndani.

Kuhusu mambo ya matumizi yuko vizuri tu, japo nafanya kazi na nina biashara zangu pia ila bado hunipa pesa za matumizi. Amenitambulisha nafikiri karibia kwa ndugu zake wote na wanajua tunaishi pamoja, lakini mimi anawafahamu marafiki zangu wawili tu.

Sikuwa tayari kumtambulisha sana kwa upande wangu maana i was having second thoughts. Amekuwa akihitaji mtoto tangu tunaanza mahusiano hivyo nikawa na mtihani wa kujitahidi nisishike mimba kwa kipindi chote hicho.

Amekazania sana issue ya kutaka tufunge ndoa, nimeshalikwepa sana ili ajiongeze lakini naona haelewi somo. Naogopa kumwambia direct kuwa siko tayari kuolewa na yeye, i never fell in love with him. We rushed into this, didnt give me time to digest this. Now i feel like am suffocating. Nimejaribu sana kumpenda nimeshindwa.

Nitumie njia gani ambayo haitomuumiza sana, au itakayomfanya yeye aniache? Nisaidieni maana am tired living a lie.

Tayar umeisha mpotezea rasimali nyingi pamoja na Muda, mwambie ukweli najua ataumia lakini atakuwa ameng'amua Ukweli.
 
Kumbe dawa yenu ni kudinywa tu na kuachwa NASEMA HIVIII tutawadinya na kuwa dump
 
Why hukumwambia mapema vile moyo wako unataka.
Kwann ulilazimisha moyo kumpenda mtu ambae unaona kabsa siyo sahihi kwako? Kwa nini upende pesa zake?

Mabinti wengine ndo maana mnatendwa vibaya mnazalishwa na kuachwa.

Na ukitaka kumwambia hayo unayopanga kumwambia hakikisha gharama zote/pesa zake unamrudushia kwanza ili aamini kuwa humpendi yeye na pesa zake.

Back
Top Bottom