Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,541
- 88,494
makubwa!!! ni wewe kweli au kuna muhuni ame hack acc yako?
Hahahaha tatizo mmekariri kwamba mimi natetea tu kila mwanamke hata kama yeye ndo ana kosa
makubwa!!! ni wewe kweli au kuna muhuni ame hack acc yako?
Hehehe nawashangaa wanaume wanavyomwaga povu kwenye huu uzi yaani nawashangaa sana aisee







Unatuhuma zako huku Edelyn
hahahahaha... kuwa tumekariri. lakini wewe ndio sababu kwanini tumekaririHahahaha tatizo mmekariri kwamba mimi natetea tu kila mwanamke hata kama yeye ndo ana kosa
Kwasababu maandiko yanajua sisi ni akili kubwa.
Chungu ila kunywa, ndio dawa.Hahaha my foot
We kama mimisijui kwa wengine mimi hata kama mwwnamke hanipendi ila akiniambia ukweli huwa namuona ni mtu mwema ila anaye ficha halafu nikaja kugndua mwenyewe bullet proof lazima aitafute and they all know that
Dah ,aiseee....HAYA NDIO MAMBO YAKUPOTEZEANA MUDA SI MAZURI KABISA, SINCE UNAANZA NAE MAHUSIANO DIDN'T YOU KNOW THAT HE IS NOT UR TIME, AFTER ALL NDIO UMEKUJA KUJUA SASA HIVI HIZO SABABU ZAKO BINAFSI?? KUSEMA UNA SABABU BINAFSI AMBAZO NI PERSONAL MAANA YAKE HE HAS NOTHING BAD TO YOU, BUT YOU HAVE BAD PERCEPTION INTO YOUR MIND ABOUT HIM THATS WHY UNAMMALIZIA MUDA, ILA BETTEE EARLY THAN LATE, AFTEE ALL YEARS NI BORA USIENDELEE KUMPOTEZEA MUDA, HUWA NAPENDA KUSEMA UKIONA UNAMCHOKA MTU BASI HUYO HAKUWA CHAGUO LAKO, NA KAMA SI CHAGUO LAKO BASI NI VEMA USIENDELEE KUMPOTEZEA MUDA MAANA KARMA IS OUT THERE WAITING FOR YOU,
ILA KUNA VINGINE VINACHEKESHA SANA AFTER ALL THE TIME NOW YOU HAVE TO YOUR SENSES THST HE IS NOT YOUR TYPE?? JARIBU KUWA SERIOUS IN RELATION COZ YOU ARE USING SOMEONES TIME IN ADVANTAGE OF YOURS, KAMA UNAJUA WA MBILI HAVAI MOJA ELEWEKA MAPEMA.
Kama ni hivyo hakuna sababu ya kuwa sijui na huruma, au kushindwa kumwambia,tell him unajisikia, hata Mungu atakusimamia, na pia Mungu atajua huyo mwanaume amletee mwanamke yupi wa kufanana nae.. Umefanya vibaya sana kukaa kimya muda wote. " Baba hapendi".Nimejitahidi sana kwa kipindi chote hicho ila sikuwahi na sidhani kama nitaweza. Imefikia hatua i just hate everything about him. Kumbuka hata hii ya kuishi pamoja sikuwahi kuifurahia.
Acha tu mkuu.Ni vile baai hatuwez kujizuia kupenda ila mapenzi ni upumbavu uliotukuka sanaaHao ndio wanawake bwana
Sifa yao kubwa ni kwamba ---hata wao wenyewe hawakijui wanachokitaka
Two years an a half ..man.!!!!?,asije kuuwawa huyu dada, mapenzi ni jambo la hatari sanaMwanaume usiyempenda kweli anaweza kufanya hivyo na ukamwachia tu ukaendelea kuishi naye kwa miaka miwili na nusu anakukula na kukuhudumia we umeuchuna tu? Khantwe siamini !!!
Kabisa,hasara ya jamuhuri inajulikanaga kabisa,hasa kwenye suala la mapenzi.Sometimes namwelewa mtoa mada sometimes simuelewi.
Namuelewa kwa sababu najua huwezi lazimisha kupenda.
Nashindwa kumuelewa kwa sababu naona ana ego flani hivi, maana sentensi tatu anatamka, "biashara zangu". Sitaki kuendelea kufanya profiling, lakini, a brother is in a very difficult situation.
Yote kwa yote, Lazima ufanye uamuzi kwa faida yako, faida yake, na faida ya Jamhuri.
Mmeanza matatizo yenu toka kuumbwa nyie ndo chanzo chenyewe cha matatizo nyie ndo mashetan sisi ni victims wenuUkiona wanawake wamekuwa mashetani kwenye mapenzi, basi ujue ni kwa sababu ya wanaume.
Kweli kabisa,wanasema mwanamke kwa kadri unavyotaka kumuweka karibu ndio unavyopoteza uwezekano wa kuwa nae,hawa viumbe aisee,..Hahaha Soo True
Mazee hii kweli kabisa. Hata dem awe mpole mkarimu mtaratibu vp...unavyozidi kumtukuza tu ndio unazidi kuharibu.
Ishanikuta sanaa hii.
Na zile tongoza za kubembeleza ndio kabisaaa
Neno zangu,mimi ,yangu, ni sumu sana kwenye mahusiano,mtu mwenye u- mimi ..hata huwa salamu simpi.Hahaha kwa hiyo mtu kusema biashara zangu ni kosa? Katika eneo hilo alitakiwa asemeje eti, biashara zetu? Wanaume watu wa ajabu sana ninyi