I don’t wanna marry him, what should I do?

I don’t wanna marry him, what should I do?

Nenda nae hata kwao ili wakakujue kabsa kuwa wewe ndo umempotezea muda mtoto wao. Mueleze hayo ulopanga kumwambia mbele ya wazazi wake.
Sikuwahi kumhusisha mama yangu katika hili naanzaje sasahivi? Wazazi wangu hawajui kama ninaishi na mwanaume.
 
Nilianzisha mahusiano na huyu mwanaume miaka miwili na nusu ilopita. Baada ya miezi 6 ya mahusiano nilishtuka kajihamishia kwangu. Sikuweza kumfukuza i just decided to play along though sikupendezwa. Akachukua majukumu ya kulipia rent na matumizi mengine ya ndani.

Kuhusu mambo ya matumizi yuko vizuri tu, japo nafanya kazi na nina biashara zangu pia ila bado hunipa pesa za matumizi. Amenitambulisha nafikiri karibia kwa ndugu zake wote na wanajua tunaishi pamoja, lakini mimi anawafahamu marafiki zangu wawili tu.

Sikuwa tayari kumtambulisha sana kwa upande wangu maana i was having second thoughts. Amekuwa akihitaji mtoto tangu tunaanza mahusiano hivyo nikawa na mtihani wa kujitahidi nisishike mimba kwa kipindi chote hicho.

Amekazania sana issue ya kutaka tufunge ndoa, nimeshalikwepa sana ili ajiongeze lakini naona haelewi somo. Naogopa kumwambia direct kuwa siko tayari kuolewa na yeye, i never fell in love with him. We rushed into this, didnt give me time to digest this. Now i feel like am suffocating. Nimejaribu sana kumpenda nimeshindwa.

Nitumie njia gani ambayo haitomuumiza sana, au itakayomfanya yeye aniache? Nisaidieni maana am tired living a lie.












mwambie ukweli kama haupo teyari kuolewa naye kwa kumueleza sababu za msingi na zenye mashiko kwa kutumia maneno ya busara na hekima.Kwa upande mwingine inabidi ujitafakari vizuri mambo yote aliyokutendea na vitu alivyokufanyia huyo mwanaume niupendo tosha kwako,tambua bahati haiji mara 2 wewe unasema wa nn huyu wenzako wanatamani watawapatia wapi wanaume kama hao.Muache mtoto wa mwanamke mwenzako haishi kwa amani bhana kama ulichokitafuta umeshakipata bhasi usizidi kumuumiza maana waswahili wanasema mtenda akitendwa anahisi ameonewaaaaah.
 
Kama kuna mengine machafu ayafanyayo yanayokupelekea kutoka pole sana.

Lakini kama ni maamuzi yako tu mwambie tu ukweli mapema, maumivu yapo tu hakuna namna ya kuyaepuka, mwambie aumie na apone mapema..Ili apate muda wa kukuondoa katika maisha yake na kumuingiza anayestahili, atakayempenda, kumthamini na kumheshimu.

Siku zote mwenye upendo wa kweli huangukia pasipo na upendo wa dhati.
 
ni sawa kabisa kutokuolewa na mtu kama haujiskii kufanya hivyo. maisha ni haya haya na ndoa ina mambo mengi sana ambayo yatahitaji upendo ili ufurahie, so mwambie tu ukweli, kweli itakuweka huru. ataumia lakini ataendelea na maisha yake na hautahitaji kuencounter divorce or something mbele ya safari. plus we all make mistakes sometimes so this is one of mistakes you have made. Own it ,face it and correct it.
 
Kwenye mapenzi hakuna huruma, vyovyote utakavyoondoka utamuumiza.

Ila utakakoenda hutapata aina ya mwanaume kama huyo, anayebeba majukumu yote hayo, anayekupenda kiasi hicho. Hili nakuhakikishia.
Hahahah at least leo mmekiri hakuna mwanaume wa kubeba majukumu yote hayo wala mwenye upendo kama huo .Karma is a bitch kumbe wanaume nao wanatumika na kutemwa eeeh?i never knew this hahahah
 
Kama kuna mengine machafu ayafanyayo yanayokupelekea kutoka pole sana.

Lakini kama ni maamuzi yako tu mwambie tu ukweli mapema, maumivu yapo tu hakuna namna ya kuyaepuka, mwambie aumie na apone mapema..Ili apate muda wa kukuondoa katika maisha yake na kumuingiza anayestahili, atakayempenda, kumthamini na kumheshimu.

Siku zote mwenye upendo wa kweli huangukia pasipo na upendo wa dhati.

"Siku zote mwenye upendo wa kweli huangukia pasipo na upendo wa dhati."
**************************

Hapo kwenye red siyo kweli. Pengine ungesema mara nyingi...au wakati mwingine...na si ajabu mifano kinzani ya kauli hiyo unayo wewe mwenyewe ukiichunguza vizuri safari yako ya malavidavi....
 
Usimfanyie visa ili akuache.
Wewe nenda kibinadamu tu umwambie ya-moyoni...
Ila ukianza kumfanyia visa visa ili akuache utamuumiza mwana..
Lkn siku ukija kugundua kwamba umeacha dodo ukaanza kutafuta kokwa utakuwa umechelewa

Majuto ni mjukuu always, sasa anamuona mwanaume bwege, akishamuacha akaenda kwa six park, ndiyo atamkumbuka huyu
 
ila uwe makini na maamuzi yako.....nadhani umesikia jinsi wachumba wanavyochinjana.......bado najiuliza kwanini ulimkubalia na akahamia kwako na akakutambulisha kwao.......hiyo fedheha atakayopata haitakuweka salama...kila la kheri shemeji..
 
Mwacheni afanye kile moyo unataka,mbona wanaume kibao wanawaacha mabinti na kuoa wengine na huwa hamsemi hayo?kuna faida gani kuolewa na mtu usiyempenda eti kisa kuogopa kupoteza bahati,bahati ipi hiyo?
 
Why hukumwambia mapema vile moyo wako unataka.
Kwann ulilazimisha moyo kumpenda mtu ambae unaona kabsa siyo sahihi kwako? Kwa nini upende pesa zake?

Mabinti wengine ndo maana mnatendwa vibaya mnazalishwa na kuachwa.

Na ukitaka kumwambia hayo unayopanga kumwambia hakikisha gharama zote/pesa zake unamrudushia kwanza ili aamini kuwa humpendi yeye na pesa zake.
Hahahahah leo mnatoa kaul za uchungu Hadi huruma,kapatikana mtu Leo kwi kwi kwi
 
Mwambie unaempenda amesharudi toka Bosnia maana wengi wa wadada utasikia jamaa yangu yuko "MEREKANI"
 
Majuto ni mjukuu always, sasa anamuona mwanaume bwege, akishamuacha akaenda kwa six park, ndiyo atamkumbuka huyu
Im sure huyu manzi atamkumbuka mwana tu..
Sasa hivi kwa sababu anamuona 24/7 hawezi kujua jinsi gani anampenda...lkn akijichanganya akamuacha....atarudi kwa magoti
 
ingiza mwanaume mwingine ndani au shika mimba ya mtu mwingine...kama ana akili ataondoka mwenyewe sababu hapo siyo kwake...Mimi nipo tayari kufanya hiyo kazi
 
Back
Top Bottom